TIBA

TIBA

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from TIBA, Health/Beauty, Dar es Salaam.

13/04/2026
12/04/2026

https://www.facebook.com/share/1EdLz2WLbW/

Follow iyo page kwa wanaotafuta wenza wa maisha

https://www.facebook.com/share/1EdLz2WLbW/

💞 UNATAFUTA MWENZA WA MAISHA? 💞

Karibu kwenye page ya Pata Mwenza wa Maisha ❤️

Hapa tunalenga kusaidiana kupata upendo wa kweli, mahusiano ya heshima na hatimaye ndoa yenye furaha 💍✨

👉 K**a uko single na unatafuta mke/mume

👉 Au unataka mahusiano ya serious

👇 Andika hapa chini:
“NAITAFUTA MAPENZI YA KWELI” 💌

Usione aibu, upendo wa kweli unaanzia hapa ❤️🤝

Link juu apo

Pata mwenza wa maisha Karibu kwenye page yetu pendwa ❤️ Pata Mwenza wa Maisha 🥰

Hapa tunawaunganisha watu wanaotafuta wake na waume wa kweli �

Post tangazo lako la mapenzi, pata chaguo sahihi la moyo wako �

� Follow sasa upate mwenza wako wa ndoto

12/04/2026

https://www.facebook.com/share/1EdLz2WLbW/

Follow iyo page kwa wanaotafuta wenza wa maisha

https://www.facebook.com/share/1EdLz2WLbW/

💞 UNATAFUTA MWENZA WA MAISHA? 💞

Karibu kwenye page ya Pata Mwenza wa Maisha ❤️

Hapa tunalenga kusaidiana kupata upendo wa kweli, mahusiano ya heshima na hatimaye ndoa yenye furaha 💍✨

👉 K**a uko single na unatafuta mke/mume

👉 Au unataka mahusiano ya serious

👇 Andika hapa chini:
“NAITAFUTA MAPENZI YA KWELI” 💌

Usione aibu, upendo wa kweli unaanzia hapa ❤️🤝

Link juu apo

08/04/2026

🌿 USIKATE TAMAA… MWILI WAKO UNAWEZA KUJITIBU! 🌿

Watu wengi wanateseka kimya kimya…
Maumivu ya tumbo, uchovu usioeleweka, presha, sukari, au matatizo ya uzazi… 😔
Wanazunguka hospitali hadi wanachoka…
Wanatumia dawa bila kuona mabadiliko ya kudumu

Ukweli ni huu:
Mwili wako haukuumbwa uwe dhaifu.

Umeumbwa kujiponya… ukipewa kile sahihi!

🌱 Asili imebeba siri kubwa sana…
Mimea k**a:
✔️ Mlonge
✔️ Tangawizi
✔️ Kitunguu swaumu
✔️ Majani ya mpera

Hivi si vitu vya kawaida tu…
Ni NGUVU YA TIBA ASILIA ambayo wengi bado hawajaielewa 💯

✨ Anza kubadilisha maisha yako leo:

✔️ Chagua lishe sahihi
✔️ Epuka vyakula vya sumu (junk foods)
✔️ Tumia tiba asili kwa uelewa

🚨 USISUBIRI UGONJWA UWE MKUBWA NDIO UANZE KUJALI AFYA YAKO!

❤️ Follow page ya TIBA kwa elimu zaidi ya afya itakayobadilisha maisha yako kila siku!

08/04/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Deodictor Juma Panja, Mauwa Kessy, Shollah Leonard, Jackson Juma, Belesit Birhanuviv

07/04/2026

🌸 Unataka kuwa mama? 🌸
Jaribu njia asili za kuimarisha mwili wako kwa ujauzito:

🍃 Majani ya Mpera – Husaidia uke wako kuwa tayari.

🌿 Mlonge / Moringa – Hupanua nguvu za mwili na damu bora.

🍯 Asali + Tangawizi – Husaidia mwili kuwa safi na wenye afya.

🥭 Papai jekundu – Inarahisisha mzunguko wa hedhi na kuandaa ujauzito.

💧 Kunywa maji ya kutosha

🧘‍♀️ Fanya mazoezi mepesi

❤️ Angalia afya yako mara kwa mara

Tabia ndogo, matokeo makubwa! 💚

Tumia kila siku kwa ustadi na subira, mwili wako utajitayarisha kupokea baraka ya mimba. 🤰✨

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

Dar Es Salaam