Witney beauty store

Witney beauty store

Share

Tunauza vipodozi original Kwa bei nafuu�
skincare |perfumes�
Tunapatikana dar es salaam,

20/04/2026

With Maria Naturals Kenya. – I just got recognised as one of their top fans! 🎉

18/04/2026

Wanaotak kuwa weupe jamani weupe njoo chukua 15000

16/04/2026

Set ya kishua 🔥🔥
Inakausha chunusi, inaondoa dark spot zote na kukupa unyevu kwenye ngozi hii ni nzur sana🙌Fanya uwahi wewe mwanamke mrembo
55000 tu zipo chache sana🤗

13/04/2026

Oil skin Babes. Njoo chukua hii set 45000 tu🔥hii adi Mwanaume anatumia. Piga simu au tuma masage 0743674014

10/04/2026

Bado ni nipo na team uzungu 38000 Unapenda kung'aa kitu hicho apo, tunapatikana kimara baburi 0743674014

fb.me 09/04/2026

Inang’arisha vizuri sana hii 18000

fb.me

08/04/2026

Hii glutathione inang’arisha vizuri, inaondoa makunyanzi usoni pia ni nzuri kwa ajili ya afya ya mifupa na hazina madhara😘
Wasioutaka uzee waje hapa 18000🙌

08/04/2026

Walioharibika na vipodozi vikali, wenye wekundu na weusi njoo chukua hii🔥🔥🔥 10000 jumla 8000

Photos from Witney beauty store's post 07/04/2026

✨ KARIBU WITNEY BEAUTY STORE ✨

Tunafuraha kukukaribisha kwenye duka lako jipya la vipodozi bora Dar es Salaam 💄🌿

Tunapatikana na:✔️ Skincare kwa ngozi zote (hasa ya mafuta)✔️ Perfume original zenye harufu kali na ya kudumu✔️ Bidhaa bora kwa bei nafuu kabisa

👉 Unataka ngozi safi, laini na yenye kung’aa?👉 Unatafuta perfume ya kuvutia na ya kudumu siku nzima?

Basi uko sehemu sahihi 💯

📍 Tunapatikana Dar es Salaam📞 Wasiliana nasi: 0743674014

🚚 Tunafanya delivery

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address

Kimara
Dar Es Salaam