kavishe_afya_

kavishe_afya_

Share

Health Services

10/07/2022
21/05/2022

*CD4 Cells* KINGA YA MWILI KWA VIRUTUBISHO *(DIETARY SUPPLEMENTS)*....

*Jinsi gani tunaweza kumsaidia mwenye kuishi na maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI na UKIMWI wenyewe..?*
Ni kumsaidia kuanzia kwenye Aina ya vyakula vyenye kuujenga mwili.

*Dietary Supplements* ni Aina ya virutubisho vyenye kurudisha uwezo wa mwili kutengeneza seli kwa haraka na kusaidia seli zilizokwisha athirika kufanya kazi tena.

*Nicotinamide mononucleotide & Ganordema Spores* ni virutubisho vipatikanavyo kwenye jamii ya matunda, mbogamboga na uyoga mwekundu kwa pamoja Husaidia kuzalisha seli mpya za mwili na kupandisha Kinga ya mwili kwa haraka kwa mgonjwa wa VVU/UKIMWI na Wenye Changamoto sugu k**a *KISUKARI, KIFUA KIKUU, PRESHA, PUMU na wenye kuugua maradhi Mara kwa Mara*

Kazi kubwa Ni kurejesha uwezo wa mwili kujisaidia/kupambana na Vimelea/Bacteria/virusi waingiapo kwenye mifumo tofauti tofauti mwilini.

*TIBA hii NZURI* KWA WAZEE, wagonjwa wa moyo,Figo, Ini,Kisukari, Waathirika wa VVU na UKIMWI na wenye shida ya uric acid/tindikali nyingi mwilini na matatizo ya gout. Wasiliana nami kwa ushauri na maelezo zaidi
0713727148
Whatsup link
https://wa.me/message/R6MXMM54IM37D1

19/05/2022

TIBA YA BAWASILI YA NDANI NA NJE BILA UPASUAJI

-Bawasili ni kupasuka kwa mishipa ya haja kubwa.damu kuganda nakujitokeza vinyama katika maeno hayo

AINA ZA BAWASILI
1)Bawasili ya ndani
2) Bawasili ya nje
-Bawasili ya nje hutokea mwisho wa mfereji wa haha kubwa
*Mishipa ya damu (vena) hupasuka na damu kuganda ikiambatana na maumivu makari sana
- Bawasili ya ndani
*Hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa hii haiambatani na maumivu
Hapa wengi huwa hawajui

DALILI ZA UGONJWA WA BAWASILI
*Kuota vinyama sehemu ya haja kubwa
*Miwasho na maumivu sehemu ya haja kubwa
*Kinyesi kutoka kuchanganyikana na haja kubwa chenye halufu mbaya

CHANZO CHA UGONJWA WA BAWASILI
* Kukaa kitako kwa muda mrefu
*Kufanya mazoezi magumu yanayosababisha kukaza sehemu ya haja kubwa
*Kufanya mapenzi kinyume cha maumbile
*Tatizo lakutokupata choo na kupata choo kigumu

TIBA YAKE
*Mara nyingi watu wenye tatizo hili tiba yake nikufanyiwa upasuaji.hata ivyo wengi huwa inaealudia baada ya upasuaji

-Upasuaji unaweza kukusababishia kansa ya utumbo mpana

Lipo suluhisho lakudumu
Unaweza kutibu tatizo lako pilae opareshen
Na kupona kabisa bila bawasili kuludi
Kwa mawasiliano zaidi
Chat/pga 0713727148
What's up link
https://wa.me/message/R6MXMM54IM37D1

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address

Dar Es Salaam