Nguzo ya afya
magonjwa yote sugu, yasiyoyakuambukizwa. Kwa kutumia teknolojia mpya ya stemcell therapy yanapona.
SUKARI KUTOKA 30 HADI 8 NDANI YA MWEZI MMOJA
Mzee alikuwa na Kisukari kinapanda 25-30.
Alivyoanza kutumia tiba zetu Baada ya mwezi 1 imeshuka mpaka 7-8-9.
Hii ni jana alikuja ofisini kuchukua dose nyingine ya mwezi wa pili, ndo akawa anamuelezea mhudumu wetu.
Sahivi anadai anakunywa chai yenye sukari, ikishuka anakula mpaka tende na anaweza kukaa hata siku 5 hajameza kidonge cha hosptal suala ambalo halikua hawezi.
Kwenye maelezo yake mengine anasema Bawasili iliyokuwa inamtesa imeisha, maana anadai alikua na kiuvimbe sehemu ya haja kubwa ulimpa shida sana ya kupata choo na ashaambiwa afanyiwe upasuaji. _nitaileta video yake pia._
Sasa anapata choo vizuri.
K**a una changamoto k**a hii, jua kwamba kuna njia iliyo salama ya kukuondolea tatizo lako.
Afya yako ni muhimu. Usisubiri iwe mbaya zaidi.
TUWASILIANE TUKUSAIDIE:
π UKONGA MAGEREZA
π 0652 504 174
29/07/2026
πΈ NDOTO YAKO YA KUITWA MAMA INAENDA KUTIMIA! πΈ
Je, unateseka na Fibroids (uvimbe), Endometriosis, au mchanganyiko wa homoni unaokuzuia kubeba ujauzito?
Usikate tamaa! TIBA ZETU ndio suluhisho la asili na kisayansi linalorejesha furaha ya uzazi.
β¨ NAMNA TIBA ZETU ZINAVYOKUSAIDIA:
* π¬ Kuyeyusha Uvimbe: Zinasaidia mwili kujitibu na kuyeyusha Fibroids na Endometriosis bila upasuaji.
* βοΈ Kurejesha usawa wa Homoni: Zinarudisha mfumo wako wa homoni kwenye usawa wa asili.
* π§Ή Kusafisha Kizazi na Mirija: Zinaondoa seli zilizokufa na kuandaa mazingira salama ya mtoto kukua.
* π₯ Kupevusha Mayai: Zinarutubisha na kuimarisha afya ya mayai kwa ajili ya urutubishaji.
Acha maumivu na majonzi. Anza dozi yako leo uone matokeo mapema! π€±πΎ
Tumerejesha furaha za ndoa nyingi hata yako itarejea utaitwa baba/mama.
π TUNAPATIKANA: Ukonga Magereza, Dar es Salaam
π PIGA / WHATSAPP: 0652 504 174
28/07/2026
"SARATANI, SARATANI..." πβ¨
Mwanamke huyu alipitia maumivu makali mno yasiyoelezeka. Kila siku ilikuwa ni kilio, hofu, na majonzi tele baada ya kuambiwa suluhisho pekee lililobaki lilikuwa ni *kukatwa ziwa* kutokana na saratani. Nguvu zilimuishia na matumaini ya kuishi yakaanza kutoweka...
Lakini MUNGU NI MWEMA SIKU ZOTE! π
Baada ya kuanza tiba zetu, safari ya matumaini mapya imeanza kuonekana. Hivi sasa yupo siku ya 40 (karibu nusu dozi ya siku 90) na matokeo yanajieleza yenyewe:
β
Maumivu makali yamepotea kabisa!
β
Kidonda kinazidi kufunga na kupona kwa kasi.
β
Amerejesha nguvu na tabasamu lake tena!
Hiki ni zaidi ya tiba; ni kugusa na kubadilisha maisha ya watu na kuwarejeshea matumaini pale walipohisi ndio mwisho. Safari bado inaendelea, na tunaamini atapona kikamilifu! β€οΈπ±
K**a nawe au ndugu yako anapitia changamoto ya saratani, asikate tamaa tiba zetu zinawapa tumaini jipya.
TUPO UKONGA MAGEREZA
0652 504 174
06/05/2026
Habarini za mda wapendwa. Leo nimepata habari njema kutoka kwa huyu dada.
Alianza kutumia tiba zetu akiwa hajiwezi alikua na vimbe tatu na akaambiwa afanyiwe upasuaji. Na alikua amekaa kwenye ndoa miaka 8 bila mtoto, Bahati nzuri alikua ameelewa tiba zetu tukamuanzishia tiba. Uvimbe uliisha, na hatimae akapata ujauzito. Na amejifungua rasimi na salama.
Na sasa anaitwa mama mtoto.
HAIJALISHI UMEKAA MIAKA MINGAPI BILA MTOTO KWA HUDUMA ZETU UTAPATA MTOTO.
Hizi tiba zetu zinaendelea kugusa maisha ya watu.ππ
Sciatica ni maumivu yanayotokea wakati nerve ya sciatic inapobanwa au kuwashwa. Nerve hii ni ndefu zaidi mwilini - inaanzia chini ya mgongo, inapitia kwenye makalio, halafu inashuka kwenye kila mguu hadi kwenye unyayo.
Sababu zinazosababisha Sciatica:
Disc bulge/herniated disc - Mto wa uti wa mgongo ukipasuka na kubana nerve.
Spinal stenosis - Njia ya uti wa mgongo kuwa nyembamba na kubana nerve.
Piriformis syndrome - Misuli ya kalio ikibana nerve ya sciatic.
Spondylolisthesis - Mfupa wa uti wa mgongo kuteleza na kubana nerve.
Ujauzito - Uzito wa mtoto kubana nerve.
Dalili za Sciatica
Maumivu makali - Yanayoanzia kiunoni/makalioni na kushuka nyuma ya paja, kupitia kwenye goti hadi mguuni au unyayoni. Watu hueleza k**a "umeme", "kuchomwa", au "kisu".
Ganzi/kufa ganzi - Unahisi sehemu ya mguu au unyayo umekufa ganzi.
Kuwashwa/sindano sindano, Kuhisi k**a sindano zinakuchoma mguuni. Maumivu yanaongezeka Unapokaa muda mrefu, kukohoa, kupiga chafya, au kuinama.
Tofauti na maumivu ya kawaida ya mgongo Sciatica huwa inashuka mpaka chini ya goti.
K**a unapitia changamoto hii wasiliana nasi. Tupo UKONGA MAGEREZA
TUPIGIE 0652 504 174
01/05/2026
Habarini za mda wapendwa. Leo nimepata habari njema kutoka kwa huyu dada.
Alianza kutumia tiba zetu akiwa hajiwezi alikua na vimbe tatu na akaambiwa afanyiwe upasuaji. Na alikua amekaa kwenye ndoa miaka 8 bila mtoto, Bahati nzuri alikua ameelewa tiba zetu tukamuanzishia tiba. Uvimbe uliisha, na hatimae akapata ujauzito. Na amejifungua rasimi na salama.
Na sasa anaitwa mama mtoto.
HAIJALISHI UMEKAA MDA GANI BILA MIMBA/MTOTO KWA HUDUMA ZETU UTAITWA BABA/MAMA
Hizi tiba zetu zinaendelea kugusa maisha ya watu.ππ
TUPO UKONGA MAGEREZA 0652 504 174
29/04/2026
TINDIKALI(ACID) NA VIDONDA VYA TUMBO
Tindikali iliyopo tumboni (Stomach Acid) ni muhimu kwa ajili ya kusaga chakula tunachokula. Hata hivyo, tindikali inapokuwa nyingi kupita kiasi, husababisha usumbufu mkubwa k**a kiungulia na maumivu ya kifua.
Vidonda vya tumbo (Peptic Ulcer Disease) hutokea wakati kinga ya ukuta wa tumbo inapofeli, na kuacha majeraha au michubuko wazi. Vyanzo vikuu ni pamoja na bakteria wa H. pylori, mlo duni, msongo wa mawazo, na matumizi ya muda mrefu ya dawa kali za maumivu. n.k
kwanini umetua Dawa za Kawaida (Antacids/Antibiotics) na haujapona?: Mara nyingi hufanya kazi ya kupunguza tu makali ya tindikali au kuua bakteria kwa muda. Ni tiba inayolenga kuzima moto (dalili) lakini mara nyingi tatizo hujirudia baada ya muda mfupi kwa sababu ukuta wa tumbo unabaki na majeraha.
kwanini kwa Tiba zetu utapona?: Hizi ni tiba zinazolenga kujenga upya tishu zilizoharibika. Badala ya kupunguza tu tindikali, hizi huenda kutibu chanzo cha tatizo.
JINSI TIBA ZETU ZINAVYOTIBU VIDONDA VYA TUMBO NA TINDIKALI(ACID):
Ukarabati wa Tishu (Regeneration): tiba zetu zina uwezo wa kipekee wa kugeuka kuwa seli mpya za tumbo. Zinapofika kwenye eneo lenye kidonda, zinaanza kuzalisha seli mpya zenye afya na kuziba jeraha moja kwa moja, jambo ambalo dawa za kawaida haziwezi kufanya.
Kurejesha Kinga ya Tumbo: Tiba hizi husaidia kurejesha ute wa asili (Mucus layer) unaolinda ukuta wa tumbo. Hii inafanya tumbo kuwa na uwezo wa kuzuia tindikali isichubue tena ukuta wa tumbo.
Kuondoa Uvimbe (Anti-inflammatory): tiba zetu huondoa uvimbe na muwasho uliokithiri tumboni, hali inayopelekea maumivu kuisha na mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kurudi katika hali yake ya asili.
Tunza mfumo wako wa mmeng'enyo wa chakula kwa kutumia tiba zetu zinazolisha na kurejesha seli zako. Afya bora huanzia kwenye seli zenye afya!
TUPO UKONGA MAGEREZA DAR ES SALAAM.

JINSI TIBA ZETU ZINAVYOTIBU VIDONDA VYA TUMBO NA TINDIKALI(ACID)

Huyu mzee alipata shida ya ubongo alikua na pressure ilifikia stage akapata minor stroke kulingana na umri wake akawa ameshindwa kabisa kutembea. Akapoteza na kumbukumbu akawa anasahau mpaka chumbani kwake. Akapoteza uwezo wa kuona, maumivu ya viungo, misuli n.k yalimsumbua akiwa hawezi hata kutembea yupo kitandani na kila kitu anasaidiwa, Ila baada ya huduma ni k**a unavyosikia anatoa ushuhuda.
Ni vile alikua na kipato cha chini ila alipambana akapata huduma kwa kiasi alichopata na huduma aliyoipata aliweza kutembea, akarejesha kumbukumbu ndo maana anaweza kusimulia akiwa amekaa suala ambalo alikua hawezi.
Tunaendelea kugusa maisha ya watu.
afya yako itaimarika kwa tiba zetu
TUPO UKONGA MAGEREZA DAR ES SALAAM
TUPIGIE
0652 504 174
27/03/2026
Wale wanaosumbuka na uvimbe na chngamoto nyingintzo, tukiwambia tiba zetu mnasema zina gharama na hamziamini bora operation, huyu nilikuatana nae 2023 akiwa na uvimbe na amekaa miaka 17 bila mtoto kwenye ndoa. alikataa tiba yangu akaenda kufanyiwa operation miaka miwili baadae uvimbe ukarudi. alinitafuta kwa machozi, bahati mbaya meseji yake nilikua nimeifuta ila nilimuomba a screenshot anitumie bahati nzuri akanipatia, maana huu ni ushuhuda mzuri sana kwa wenye changamoto za uvimbe n.k
Hizi tiba zetu, unaweza ukazikataa leo ukawa na option nyingine ila kwa badae utarudi tu maana options nyingine hazideal na chanzo cha tatizo kwaiyo nakua na uhakika utatuliza tatizo ila kikirudi ili ulimalize kabisa basi wewe utahitaji stemcell.
Kwa wale ambao wanadai washatumia dawa nyingi bila matokeo, tatizo likianza na ukaanza na tiba sahihi halitokusumbuaππ
ugonjwa wako iwe saratani, tezi dume, sukari, pressure, n.k yataisha.
TUPO UKONGA MAGEREZA
WASILIANA NASI
0652 504 174
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Nguzo ya afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.