kezakids_tz
Kwa wale wote wanao tafuta biashara za kufanya. Nipo kwa ajili yao
17/06/2021
Ni nzuri sana kwa ajili ya mwanao
16/06/2021
Hivi virutubisho ana anza kutumia mtoto mwenye umri mdog sana kuanzia wiki 1 na kuendelea
#0752760630
16/06/2021
Watoto wanahitaji matunzo mazuri mpatie virutubisho ili adisumbuliwe na magonjwa mara kwa mara karibuni
#0752760630
16/06/2021
😷😷😷😷😷💓💓💓
16/06/2021
Ukiona mtoto analia sana na hana tatizo lolote muogeshe akisha oga hatolia tena hivi unajua joto linavyosumbua eti 😍
#0752760630
16/06/2021
Hivi jamani kweli mtoto ateseke kweli ebu wazazi jipigeni moyo konde na mjali watoto wenu yani jamani ebu jua kwamba mwanao ni wathamani kuliko kitu chochote
#0752760630
16/06/2021
K**a mwanao ana afya nzuri mshukuru MUNGU watoto wanateseka jamani.
Jitahidi kumpa mwanao virutubisho vitamsaidia sana
#0752760630
16/06/2021
Jamani suluhisho lipo tena lakudumu
#0752760630
16/06/2021
Watoto wanahitaji matunda kwa wingi lakini sio wote tunaweza kuaford kila siku.
Hivi virutubisho vimechanganyikana na matunda yanayo hitajika mwilini. Na mwanao anavihitaji karibu
#0752760630
16/06/2021
Asanteni nyote nawapenda sana make what is best for your kid
#0752760630
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Dar Es Salaam
