AFYA YANGU

AFYA YANGU

Share

Tunatatua changamoto za kiafya , unaweza ukawasiliana nasi kwa 0763180438

08/04/2024

KUVIMBA KWA TEZI DUME (BENIGN PROSTATE HYPERTROPHY)
Hii ni changamoto ya kiafya ambayo inaweza kuwa Pata wanaume wote wa kuanzia umri wa miaka 45~50, tatizo hili la kuvimba kwa tezi dume linaweza kijionesha kupitia dalili mbali mbali ambazo ni........

✅Kushindwa kudhibiti mkojo wakati unapohisi kibofu kimejaa

✅Maumivu makali ya nyonga na mgongo

✅Kukojoa mara kwa mara hasa nyakati za usiku

✅Kushindwa kukojoa kabisa (urinary retention)

✅Kujichafua kwa mabaki ya mkojo baada ya kumaliza kukojoa

✅Kushindwa kusimama kwa muda mrefu

✅Mkojo kutofika mbali wakati wewe una Okoa (mtiririko dhaifu)

✅Kushindwa kumudu tendo la ndoa na Kukosa kabisa hamu ya kushiriki tendo la ndoa

MADHARA YA KUVIMBA KWA TEZI DUME (BPH)

BPH k**a ilivyo saratani ya tezi dume, inaweza kumletea mgonjwa madhara (complications) kadhaa. Madhara hayo ni pamoja na
* Mkojo kushindwa kutoka (retention of urine)
* Mgandamizo kwenye kibofu cha mkojo
* Vijiwe kwenye kibofu cha mkojo
* Uambukizi katika njia ya mkojo (UTI)
* Madhara katika figo au kibofu
* Shinikizo la damu
* Kushindwa kutoa shahawa kwenye uume (retrograde ej*******on)
* Maambukizi mbalimbali
* Nimonia (Pneumonia)
* Damu kuganda
* Uhanithi

KARIBU TUKUHUDUMIE
SIMU 0750820438
WHATSAPP 0750820438

08/04/2024
01/12/2023

https://whatsapp.com/channel/0029Va9cwlf72WTt9WlLfC2w

Karibu na...
JIFUNZE AFYA NA SAYANSI YA KITABIBU kupitia katika channel yangu

whatsapp.com

10/10/2023

INAWEZEKANA SASA
K**a umehangaika muda mrefu kutatua changamoto za maumbile yako muda ni sasa.....

✅K**a umehangaika na madhara ya Kujichua kwa muda mrefu sana na haujapata suluhisho muda ni sasa

✅K**a umeshindwa kirutubisho mayai kwa mwenza wako. Muda ni sasa

✅K**a maumbile yako yamekuwa madogo sana na kusababisha Ukosefu wa raha wakati wa mchezo, muda ni sasa..

✅K**a hauwezi kurudia tendo, usichelewe ni wakati wako pia kumaliza changamoto zako

NB; KWA MWENYE TATIZO LOLOTE LA UZAZI, ANAKARIBISHWA

Mawasiliano

Simu 0763180438
WhatsApp :0763180438

10/10/2023

UVIMBE WA TEZI DUME UNATIBIKA
(Anza tiba mapema usifike hatua hii)

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address

Mlimani City
Dar Es Salaam
255