Ruky na Neolife26

Ruky na Neolife26

Share

Nasaidia kuwa na Afya bora,urembo,Bidhaa za usafi,Kilimo bora na kushirikisha biashara kwa mtaji mdog

20/07/2026

WAKULIMA WENGI MNO
WANATUMIA SUPER GRO KWA MANUFAA MENGI MNO
Ni kirutubisho cha mmea na ardhi.
Hulainisha maji na kuondoa mzio wa maji. Kwani huwezesha
maji kupenya hadi tabaka la tatu la udongo ambalo huwa na
madini na virutubosho vingi.
Huongeza rutuba katika udongo
Husaidia maua yasipukutishwe na upepo hivyo huongeza
wingi wa mazao
Ni k**a gundi huwezesha madawa ya kilimo aina zote
kushika vizuri zaidi kwenye majani na hivyo madawa huweza
kuua wadudu kwa urahisi zaidi
Huongeza uwezo wa udongo kutunza unyevunyevu
Huyeyusha hali ya mafuta mafuta kwenye majani ya mmea
hivyo hutawanyisha maji kwa urahisi
Huleta rangi ya kijani
0715101064
UTAIPATA LEO KWA 165000 DUMU LA LITA TANO NA K**A
UKICHUKUA KWA JUMLA KWANZIA MADUMU 4 basi
UTAPATA KWA 160000 TUPIGIE MAKAO MAKUU DIRECT

MAWAKALA VIGEZO
MTAJI WA 1333000 na kuendelea
NIDA NAMBA
TIN NAMBA

NJOO UTENGENEZE PESA 💪🏻💪🏻

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address

Kigamboni Dar Es Salaam
Dar Es Salaam