Eitin Plus Tz
•Maambukizi Sugu ya Uzazi
•Kubana Uke Uliotanuka/kulegea
•Upungufu Wa Nguvu Za Kiume
•Kuongeza hamu ya Tendo
•Punguza Kitambi,
•Piga:+255 769 245 240
15/10/2026
14/10/2026
10/10/2026
BWANA, NIPE KIBALI MBELE ZAKO NA MBELE ZA WANADAMU.
Ee MUNGU, mahali ambapo nguvu zangu haziwezi kufika, kibali chako kinitangulie. Milango ambayo siwezi kuifungua kwa uwezo wangu, neema yako ikaifungue.
Nipe kibali katika kazi za mikono yangu, biashara zangu, mipango yangu na kila hatua ya maisha yangu.
Wakati wengine wakihangaika kutafuta nafasi, mimi nikumbukwe kwa kibali chako. Jina langu litajwe kwa wema hata mahali ambapo sijawahi kufika.
Si kwa nguvu zangu, si kwa akili zangu, bali kwa NEEMA NA KIBALI CHAKO, EE MUNGU.
Amina.
Pongezi JIHAN,
Pongezi kwa WATANZANIA wote,
Pongezi kwa AFRICA 🌍,.
UGUMBA KWA WANAUME: FAHAMU SABABU ZAKE
Ugumba kwa wanaume ni changamoto ya afya ya uzazi inayoweza kuathiri uwezo wa mwanaume kutungisha mimba.
SABABU ZINAZOCHANGIA UGUMBA KWA WANAUME
1. Mabadiliko ya homoni.
2. Kupungua kwa idadi ya mbegu za kiume.
3. Mbegu kuwa na mwendo hafifu.
4. Maambukizi ya mfumo wa uzazi.
5. Varicocele (mishipa ya damu kupanuka kwenye korodani).
6. Kuziba kwa njia zinazopitisha mbegu.
7. Matatizo ya korodani.
8. Unene uliopitiliza.
9. Matumizi ya sigara, pombe kupita kiasi na dawa za kulevya.
Kumbuka: Uwezo wa kufanya tendo la ndoa si uthibitisho wa uwezo wa kutungisha mimba.
Usikae na tatizo bila kujua chanzo. Fanya uchunguzi na pata ushauri sahihi wa afya ya uzazi.
EITIN-PLUS HERBAL CLINIC
Ilala – Msimbazi Center, Dar es Salaam.
Call & WhatsApp: 0769 245 240
Good Health • Good Vibe
SABABU ZA UGUMBA KWA WANAUME
Ugumba kwa mwanaume unaweza kusababishwa na sababu mbalimbali zinazoathiri idadi, ubora, mwendo au uzalishaji wa mbegu za kiume.
Baadhi ya sababu muhimu ni:
• Idadi ndogo ya mbegu za kiume
• Mbegu kutokuwa na mwendo mzuri
• Mbegu kuwa na maumbo yasiyo ya kawaida
• Kutokuwepo kabisa kwa mbegu kwenye shahawa
• Maambukizi ya mfumo wa uzazi au baadhi ya magonjwa ya zinaa
• Varicocele, yaani kuvimba kwa mishipa ya damu kwenye korodani
• Matatizo ya homoni
• Kuziba kwa njia zinazopitisha mbegu
• Matatizo ya korodani au historia ya majeraha/upasuaji
• Tatizo la kusimamisha uume au kumwaga shahawa
• Joto kali la muda mrefu kwenye korodani
• Uvutaji sigara, matumizi makubwa ya pombe na baadhi ya dawa au kemikali
• Uzito kupita kiasi, msongo wa mawazo na baadhi ya magonjwa sugu
Muhimu: Mwanaume anaweza kuonekana mwenye afya nzuri lakini bado akawa na changamoto ya uzazi. Uchunguzi k**a Semen Analysis pamoja na vipimo vingine vinavyoshauriwa na mtaalamu husaidia kubaini chanzo halisi.
Usikimbilie matibabu bila kujua chanzo. Uchunguzi sahihi ndio hatua ya kwanza kuelekea kwenye msaada sahihi.
Wasiliana nasi kwa Call & WhatsApp: 0769 245 240
EITIN-PLUS HERBAL CLINIC
Good Health • Good Vibe
UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME UNAWEZA KUSABABISHWA NA NINI?
Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ambapo mwanaume hupata ugumu wa kusimamisha au kudumisha uume katika kiwango kinachotosha kwa tendo la ndoa. Tatizo hili linaweza kutokea mara moja moja, lakini likijirudia mara kwa mara linahitaji kufanyiwa tathmini.
Baadhi ya sababu zinazoweza kuchangia ni pamoja na:
• Msongo wa mawazo, hofu na wasiwasi
• Kisukari na shinikizo la damu
• Mzunguko hafifu wa damu mwilini
• Upungufu wa homoni ya Testosterone
• Uzito kupita kiasi na kutofanya mazoezi
• Matumizi ya sigara na pombe kupita kiasi
• Matatizo ya tezi dume
• Baadhi ya dawa zinazotumika kutibu magonjwa mbalimbali
• Kukosa usingizi wa kutosha na uchovu wa muda mrefu
• Changamoto za kihisia au mahusiano
Upungufu wa nguvu za kiume si tatizo la kuficha. Wakati mwingine unaweza kuwa ishara ya changamoto nyingine ya kiafya inayohitaji kuchunguzwa.
EITIN-PLUS HERBAL CLINIC tunatoa ushauri na huduma zinazolenga afya ya mwanaume baada ya kutathmini changamoto yake na historia ya afya.
Kwa ushauri na maelezo zaidi:
Simu/WhatsApp: 0769 245 240
EITIN-PLUS HERBAL CLINIC
Ilala – Msimbazi Center – Dar es Salaam
Good Health • Good Vibe
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Eitin Plus Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.
