Dr Yusuph
Unajali afya yako? Karibu 🤝
Tunakupa elimu rahisi kuhusu kisukari, presha, na magonjwa mengine yasiyoambukiza.
Badili maisha yako leo kwa hatua ndogo ndogo!
📲 Tufuate kwa vidokezo vya afya kila siku
Kupata bidhaa hii kwa haraka zaidi piga wa.me/+255769576282 au BONYEZA link hiyo kuja WhatsApp
Ni aina ya mimea iliyochanganywa pamoja kitaalamu (Chrysanthemum and other plant species) na kuandaliwa kwa ajili ya kutumika k**a majani ya chai. Ni majani ambayo yana uwezo mkubwa wa kueyusha mafuta mwilini na kutoruhusu mafuta kuhifadhiwa kwa wingi katika seli za mwili. Majani haya yana madini muhimu k**a, vitamin B1 na C kwa ajili ya kusaidia kueyusha chakula, kuchoma mafuta na kupelekea kupunguza unene kwa haraka zaidi. Tafiti zinaonyesha kwamba majani ya chai ya Chrysanthemum yana uwezo mkubwa wa kudhibiti mafuta na kuyachoma kwa kiasi kikubwa. Ni njia rahisi ya kupunguza unene kwa watu k**a wasanii, wanaotarajia kufunga ndoa, wanamitindo na yeyote anayehitaji kupunguza uzito kwa njia nzuri, salama na ya haraka zaidi.
Majani haya pia yanasaidia kuchochea mfumo wa uyeyushaji wa chakula hasa chenye asili ya mafuta na kusaidia kupata choo laini. Pia yanasaidia kuondoa sumu zitokanazo na mifumo mbalimbali ya kimwili yaani ‘elimination of free radicals’ ambazo huifanya ngozi kuharibika na mtu kuzeeka haraka pamoja na viungo vya mwili kuchoka na kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa.
>>Watumiaji
🟢 Chai hii inaweza kutumiwa na watu wote wanaoathiriwa na utumiaji wa vidonge vya kupunguza unene.
🟢 Wanaotaka kupunguza unene au uzito kwa njia salama zaidi bila kufanya mazoezi, matumizi ya vidonge, upasuaji n.k.
🟢 Wanaotaka kupunguza mafuta yaliyoganda katika viungo k**a tumbo, maini, figo, miguu, nyama za mikono na maeneo mengine ya mwili.
🟢 Chai hii inaweza kutumiwa na wasanii, wanaotarajia kufunga ndoa, wacheza filamu na yeyote kwa lengo la kupunguza uzito/unene kwa haraka na kwa kipindi kifupi bila kuleta athari za kimwili.
KARIBU SANA UPATE BOX LAKO LEO
13/08/2026
OFA OFA OFA‼️
Njoo upime ujue chanzo cha tatizo lako leo! Huenda umeugua kwa muda mrefu na umekata tamaa! Kwa kushirikiana na wataalamu kutoka China tunakuletea ofa ya kuangalia mwili mzima kwa elfu 30. Kipimo kitaonyesha tatizo, chanzo cha tatizo na suluhisho la tatizo ikiwemo dawa nzuri kutoka China. Njoo na elfu 30 tu upate ufumbuzi wa changamoto yako ya kiafya.
Karibu sana
Piga 0779506053
WhatsApp wa.me/+255779506053
06/08/2026
🩺 AFYA YAKO NI UTAJIRI WAKO!
Je, unaishi na mojawapo ya dalili hizi?
Kupata huduma bonyeza link wa.me/+255779506053
* Maumivu ya kichwa ya mara kwa mara
* Kisukari
* Presha
* Uric Acid
* Cholesterol
* Mafuta kwenye ini (Fatty Liver)
* Kukosa usingizi
* Uchovu usioisha
* Uzito kupita kiasi
* Maumivu ya viungo na mifupa
* Tatizo la figo
* Tatizo la tumbo au mmeng’enyo wa chakula
* Kushuka nguvu za mwili au hamu ya tendo la ndoa
* Kushindwa kupata mtoto
Usiendelee kutibu dalili bila kujua CHANZO cha tatizo lako!
Magonjwa mengi yasiyoambukiza huanza taratibu bila dalili kubwa. Watu wengi hugundua wakiwa tayari wamefikia hatua ngumu ya matibabu.
Njoo ufanyiwe CHECKUP YA MWILI MZIMA KWA OFA KUBWA SANA!
Lengo letu ni kukusaidia:
✅ Kugundua chanzo cha changamoto yako ya kiafya.
✅ Kufahamu hali ya viungo muhimu vya mwili wako.
✅ Kupata ushauri wa kitaalamu kulingana na matokeo ya uchunguzi.
✅ Kuchukua hatua mapema kabla tatizo halijawa kubwa zaidi.
Kumbuka:
Afya njema huanza kwa kufanya uchunguzi mapema. Usisubiri mpaka maumivu yawe makali au ugonjwa uendelee kukusumbua.
USIACHE OFA HII IPITE. Badala ya laki na nusu utapima kwa elfu 30 tu.
Weka miadi yako leo na ujue hali halisi ya afya yako.
📞 Mawasiliano: +255 779 506 053
wa.me/+255779506053
“Jua Chanzo… Chukua Hatua… Ishi kwa Afya Bora.”
04/08/2026
🌙 UNAPATA UGUMU KULALA USIKU?
Kupata bidhaa hii haraka bonyeza link hii ya WhatsApp andika NAHITAJI. wa.me/+255769576282
Au piga 0769576282
Peanut Sprout Sleep Aid Tablets ni food supplement yenye Peanut Sprout Extract 90%, iliyoundwa kusaidia mwili kupumzika na kuboresha ubora wa usingizi.
Inaweza kusaidia:
✅ Kupumzisha mwili na akili kabla ya kulala.
✅ Kuboresha ubora wa usingizi kwa baadhi ya watu.
✅ Kupunguza uchovu unaotokana na kukosa usingizi.
✅ Kukusaidia kuamka ukiwa na nguvu na utulivu zaidi.
Jinsi ya kutumia:
💊 Vidonge 2 mara moja kwa siku, usizidishe kiwango kilichopendekezwa.
⚠️ Tahadhari:
* Inafaa kwa watu wazima pekee.
* Haitumiki kwa wajawazito, wanaonyonyesha na watoto.
* K**a una mzio wa karanga (peanuts), tumia kwa tahadhari au epuka kabisa kwa kuwa bidhaa hii inatokana na peanut sprout.
* Hii ni food supplement na si dawa ya kutibu magonjwa.
* Inapatikana katika ofisi yetu hapa Kimara Mwisho
Lala vizuri, amka ukiwa na nguvu mpya kila siku! 🌙💙
WhatsApp wa.me/+255769576282
Niandikie WhatsApp kupitia link hii https://wa.me/message/5SZPJ23FD44SM1
KARIBU TUJENGE AFYA PAMOJA
APATA MTOTO BAADA YA MIAKA 12. Hata wewe inawezekana usikate tamaa. Tuko tayari kukusaidia kumaliza tatizo lako. Piga 0769576282 au tucheki WhatsApp leo WhatsApp +255769576282
17/04/2026
SULUHISHO LA MASUALA YA UZAZI
Changamoto ya uzazi (infertility) imekuwa kubwa sana siku hizi—kwa wanaume na wanawake. Watu wengi wanashindwa kupata mtoto au kushika mimba kwa urahisi k**a ilivyokuwa zamani, na sababu zake ni mchanganyiko wa maisha ya kisasa, afya, na mazingira.
🔎 Sababu kuu za kutopata mimba
1. Mtindo wa maisha (Lifestyle)
•Lishe duni (vyakula vya mafuta mengi, sukari nyingi)
•Unywaji wa pombe kupita kiasi na uvutaji sigara
•Unene kupita kiasi au uzito mdogo sana
Msongo wa mawazo (stress)
👉 Haya yote huathiri homoni za uzazi na ubora wa mbegu za kiume au mayai ya mwanamke.
2. Matatizo ya kiafya
•Polycystic O***y Syndrome
•Mirija ya uzazi kuziba
•Low s***m count
•Uvimbe wa kizazi (fibroids)
3. Umri
•Wanawake kuanzia miaka 35+ uwezo hupungua haraka
•Wanaume pia ubora wa mbegu hupungua kadri umri unavyoongezeka
4. Kemikali na mazingira
•Kemikali kwenye chakula na mazingira (pesticides, plastics) Huchanganya mfumo wa homoni
NAMNA TUNAVYOSHUGHULIKIA TATIZO LA UZAZI.
Tunakupatia
Vitamin E
Hii ni:-
Antioxidant yenye nguvu
Huboresha ubora wa mbegu za kiume
Husaidia afya ya mayai ya mwanamke
Hulinda seli dhidi ya uharibifu
Soybean (Soya)
Ina phytoestrogens (hufanana na estrogen ya mwili)
Husaidia kusawazisha homoni kwa wanawake
Chanzo kizuri cha protini na virutubisho
⚠️ Itumiwe kwa wanawake tu
Gyrophora (Lichen)
Hutumika k**a dawa ya asili (herbal)
Ina antioxidants na kusaidia kinga ya mwili
Husaidia mwili kuwa na mazingira bora ya uzazi
Brocken (virutubisho vya asili/mchanganyiko wa mitishamba)
Huongeza nguvu ya mwili na mzunguko wa damu
Husaidia kuboresha utendaji wa viungo vya uzazi
Mara nyingi hutumika k**a “fertility booster” ya asili
Propolis
Hutoka kwa nyuki
Ina antibacterial na anti-inflammatory
Huongeza kinga ya mwili
Husaidia kupunguza maambukizi yanayoweza kuathiri uzazi
⚠️ Ukweli muhimu wa kuzingatia
Virutubisho pekee haviwezi kutatua matatizo makubwa k**a mirija kuziba au matatizo ya homoni kali
Ni muhimu kufanya vipimo vya kitaalamu kwa mwanaume na mwanamke
Matibabu sahihi hutegemea chanzo cha tatizo
✅ Mapendekezo ya jumla
Fanya uchunguzi wa uzazi mapema (sio kusubiri sana)
Boresha lishe (mboga, matunda, protini bora)
Punguza stress
Epuka pombe na sigara
Tumia virutubisho
Nipigie/WhatsApp 0769576282
Karibu kwa darasa jingine au kwa swali
05/03/2026
USIPUUZIE MAFUA MAKALI 🤧
Mpendwa mwanafunzi wangu
Watu wengi siku hizi wanasumbuliwa na mafua makali yanayoambatana na kikohozi, maumivu ya kichwa, homa, uchovu wa mwili na wakati mwingine koo kuwasha. Mara nyingi hali hii husababishwa na maambukizi ya virusi vinavyosambaa kwa njia ya hewa pale mtu anapokohoa au kupiga chafya.
Ni muhimu kufahamu kwamba mafua yanaweza kumpata mtu yeyote, lakini hatari huwa kubwa zaidi kwa wazee, watoto wadogo na watu wenye magonjwa sugu k**a presha ya damu, kisukari au pumu kwa sababu kinga ya mwili wao huwa dhaifu zaidi.
Dalili zinazojitokeza mara nyingi ni: • Mafua mengi puani
• Kikohozi
• Maumivu ya kichwa na mwili
• Homa
• Koo kuwasha au kuuma
• Uchovu wa mwili
Namna ya kujikinga:
✔ Osha mikono mara kwa mara kwa sabuni
✔ Epuka kukaa karibu na watu wenye mafua makali
✔ Funika mdomo na pua unapokohoa au kupiga chafya
✔ Kunywa maji ya kutosha
✔ Kula matunda na mboga ili kuongeza kinga ya mwili
✔ Pata mapumziko ya kutosha
Ni muhimu pia kufika kituo cha afya endapo homa inakuwa kali, unapata shida kupumua, au dalili zinaendelea kwa muda mrefu zaidi ya siku kadhaa.
Afya ni mtaji mkubwa wa maisha yetu. Tusipuuzie dalili ndogo, tuchukue tahadhari mapema na tuendelee kulinda afya zetu.
Je, wewe au mtu unayemfahamu amewahi kusumbuliwa na mafua makali hivi karibuni?
Andika “NDIYO” kwenye comment tujue watu wangapi wanapitia changamoto hii.
Dr Yusuph
0769576282
WAKAZI WA DAR ES SALAAM NAWASHAURI HII NDIO GYM YENYE VIWANGO
✅️Enough space
✅️Good Ventilation
✅️Trainers waliosomea
✅️Usafi wa hali ya juu.
Kwa sababu mazoezi ndio tiba ya kwanza kwa magonjwa yasiyoambukiza ninajitolea kuwapeleka watu wachache kwa hiyo program. Vijana, kina mama, wazee na kila baba! Fanya mazoezi.
Kujiunga na hii program kwa wakazi wa Dar tu bonyeza hii link itakuleta kwenye group moja kwa moja https://chat.whatsapp.com/DD9IhbcbCG4LRahQm2hlCC?mode=gi_t
Piga 0779506053 na utasema ratiba yako unataka mazoezi ya saa ngapi.
Karibu sana
23/12/2025
RATIBA YA CHAKULA KWA MTU MWENYE KISUKARI
#0769576282
https://wa.me/message/5SZPJ23FD44SM1
Mwanafunzi wangu hujambo?
1️⃣ Uhusiano kati ya unene kupita kiasi na Kisukari
Unene kupita kiasi (hasa mafuta tumboni) una uhusiano mkubwa na kisukari aina ya pili (Type 2) kwa sababu:
Mafuta mengi husababisha insulin resistance → insulini inakuwepo lakini haifanyi kazi vizuri
Sukari hubaki kwenye damu badala ya kuingia kwenye seli
Kadri unene unavyoongezeka, ndivyo udhibiti wa sukari unavyokuwa mgumu
Unene huongeza pia presha ya damu, cholesterol na hatari ya magonjwa ya moyo
👉 Ndiyo maana kupunguza uzito kidogo tu (5–10%) huweza kuboresha sana hali ya kisukari.
2️⃣ Kwanini wengine si wanene lakini wanapata kisukari?
Si kila mwenye kisukari ni mnene. Sababu ni pamoja na:
Urithi (Genetics)
K**a kuna historia ya kisukari kwenye familia, mtu anaweza kupata hata akiwa mwembamba.
Kisukari Aina ya 1
Hii hutokana na kinga ya mwili kushambulia kongosho (pancreas) → mwili hautoi insulini kabisa.
Mafuta ya ndani (visceral fat)
Mtu anaweza kuonekana mwembamba nje lakini ana mafuta mengi ndani tumboni yanayosababisha insulin resistance.
Mtindo mbaya wa maisha
Kula sukari nyingi, vyakula vilivyosindikwa
Kukosa mazoezi
Msongo wa mawazo (stress)
3️⃣ Ratiba ya chakula kwa mtu mwenye Kisukari (Siku 7)
📅 Jumatatu
Asubuhi: Uji wa dona usio na sukari + karanga chache
Mchana: Wali wa brown + samaki + mboga
Jioni: Matunda (papai au tofaa)
📅 Jumanne
Asubuhi: Mayai 2 + kipande kidogo cha mkate wa ngano nzima
Mchana: Ugali wa dona + mboga + maharage
Jioni: Mtindi au yoghurt isiyo na sukari
📅 Jumatano
Asubuhi: Oatmeal + mbegu za chia
Mchana: Viazi vilivyochemshwa + samaki
Jioni: Parachichi nusu
📅 Alhamisi
Asubuhi: Uji wa mtama
Mchana: Wali wa brown + kuku wa kuchemsha
Jioni: Karanga au korosho chache
📅 Ijumaa
Asubuhi: Mayai + mboga za majani
Mchana: Ugali wa dona + maini/samaki
Jioni: Tunda moja
📅 Jumamosi
Asubuhi: Oatmeal
Mchana: Ndizi za kupika + maharage
Jioni: Mtindi
📅 Jumapili
Asubuhi: Uji wa dona
Mchana: Wali wa brown + samaki + mboga
Jioni: Supu ya mboga
🚫 Epuka: chips, soda, juisi za viwandani, keki, sukari nyingi.
4️⃣ Jinsi dawa zetu (virutubisho) zinavyosaidia kwenye Kisukari
👉 Dawa zetu ziko kwenye mfumo wa tiba lishe (food supplements), zinalenga chanzo na madhara ya kisukari, si kuficha dalili tu.
🔹 Propolis
Huimarisha kinga ya mwili
Husaidia kupunguza uchochezi unaoharibu kongosho
Husaidia uponaji wa vidonda vya kisukari
🔹 Ginkgo Herbal Tea
Huboresha mzunguko wa damu
Husaidia kupunguza ganzi, kuwaka miguu na mikono
Hulinda mishipa ya fahamu
🔹 Spirulina
Husaidia kudhibiti sukari
Huongeza nguvu na lishe mwilini
Hupunguza uchovu kwa wagonjwa wa kisukari
🔹 Lecithin
Huboresha kazi ya ini na kongosho
Husaidia usafirishaji mzuri wa mafuta na sukari mwilini
🔹 Fish Oil / Natural Liquid Calcium
Hulinda moyo, figo na mifupa
Hupunguza cholesterol na maumivu ya mishipa
👉 Kwa pamoja, tiba hizi: ✔️ Husaidia kudhibiti sukari
✔️ Hurekebisha mifumo ya mwili iliyoharibika
✔️ Hupunguza madhara ya kisukari kwa muda mrefu
✔️ Hufanya kazi vizuri zaidi zikichanganywa na lishe bora na mtindo mzuri wa maisha
Je unahitaji tiba?
📞 0769576282
WhatsApp https://wa.me/message/5SZPJ23FD44SM1
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Address
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Dr Yusuph posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.
