WpCo Updates

WpCo Updates

Share

WpCo Football Update

17/05/2026

Chama amekuwa na wakati mzuli sana ndani Simba SC Tanzania ambapo kwenye kila mechi aliyocheza amekuwa hatari sana akifunga na kutoa assist za mabao.
πŸ“ŒKwenye mchezo wa leo aliwatanguliza simba dakika ya 06' tu ya michezo ukiwa ni mwendelezo alionao mechi 5 zilizopita.

Hvo kumuita Chama bila A.K.A ya kumfaa haitoshi.

Je? Ww unaona ni a.k.a gani inamfaa?

17/05/2026

Sababu ya Chobwedo kutoonyesha ni mechi kuchezeshwa usiku wakisema hakukuwa na jua la kuchaji upara wakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mashabiki wa simba wamemkebehi Ramadhani Chobwedo leo kisa ameshindwa kuonyesha makali yake dhidi ya Simba SC Tanzania. TRA united ikikubali kichapo cha bao 4-0πŸ’―

17/05/2026

Waarabu wameanza harakati za usajili ndani ya Simba SC Tanzania. Hii ni baada ya wachezaji hawa kuonyesha viwango vya hali ya juu ndani ya Simba SC.

Inasemekana kuna timu kutoka uarabuni inahitaji huduma ya mchezaji LIBASE GUEYE

Wanasimba mko tayari Libase Gueye auzwe??

17/05/2026

Anko Nzala na Mohamed Dewji (Mo Dewji) trending now.

17/05/2026

Duchu ni mchezaji bora wa mechi ya Robo Fainali CRDB Federation Cup Simba SC Tanzania ikilawalaza watoza Kodi TRA united 4-0

Anachokifanya David Kameta Duchu ni kutafta kubakia msimbazi msimu ujao au mbna kaanza kujitutumua

Vp unaonaje abakia simba au?

17/05/2026

Full Time Simba 4-0 TRA united

Goli la nne limefungwa na Bashiriiiiiiiiii. Muite Bashiri Kibaila, mwenye umri wa miaka 18. Kinda huyu wa kitanzania amezaliwa Januari 7, 2008.

17/05/2026

Simba 3-0 TRA United
Goaal Selemani Mwalimu anafunga goli la 3 kwa Simba SC Tanzania Tra united 0. Anaingia tu na kufunga goli

17/05/2026

Leo tuzungumze kidogo kuhusu mwamba Elie Mpanzu.
Unakionaje kiwango chake saivi

17/05/2026

Goli la pili kwa Simba SC Tanzania OURA anafunga

Hii simba mbona k**a itaua mashabiki kwa raha hiziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

17/05/2026

Vikosi Simba dhidi ya Tra united

17/05/2026

Chobwedo vs Kibabage
Leo kazini kwa kibabage kuna kazi kam atafanikiwa kuanza kwenye kikosi cha Leo Simba SC Tanzania wakiwakaribisha TRA united.

Nani kuibuka bingwa kati Chobwedo vs Kibabage??

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address

Dar Es Salaam