Pango Mshauri01

Pango Mshauri01

Share

Tunatoa elimu sahihi ya afya kila siku.
_Kinga ya magonjwa
_Afya ya uzazi
_Lishe Bora
+255674769934

20/09/2026

Hii ni maalumu TU Kwa wale nilio wataja na sio wengine, hivyo isikilize hadi mwisho

20/09/2026

Ugonjwa wa Tonsillitis siyo wa kuupuuza!
Je, wewe au mwanao mnahangaika na
1. koo linalouma?
2. ugumu wa kumeza? Au
3. Harufu mbaya mdomoni?

Picha hii inaonyesha wazi jinsi tonsils zinavyokuwa zinapovimba na kupata maambukizi.

Mara nyingi husababishwa na microorganisms mbalimbali. Usisubiri hadi hali iwe mbaya!

Ni Wewe au mtu wako wa karibu ameshawahi kupata tatizo hili? Ulifanya nini ili kupona? Andika maoni yako kwenye comment ili kusaidia wengine!
Na k**a unahitaji nikusaidie usisite kunitafuta mapema.

20/09/2026

Mambo saba ya kusaidia kupunguza hatari ya kupata fangasi za ukeni:

1. Vaa chupi za pamba zinazopitisha hewa na epuka nguo zinazobana sana kwa muda mrefu.

2. Weka eneo la uke katika hali kavu; badilisha chupi ikiwa imelowa kwa jasho au maji.

3. Epuka kuosha uke kwa kuingiza maji, sabuni au dawa ndani ya uke (douching), kwani kunaweza kuvuruga uwiano wa kawaida wa bakteria.

4. Tumia sabuni isiyo na manukato kusafisha sehemu za nje tu, na epuka bidhaa zenye manukato kwenye eneo la uke.

5. Baada ya choo, jifute kutoka mbele kwenda nyuma ili kupunguza kuhamisha bakteria kutoka njia ya haja kubwa kwenda ukeni.

6. Usitumie antibiotiki bila ushauri wa mtaalamu wa afya; matumizi yasiyo ya lazima yanaweza kuvuruga bakteria wa kawaida na kuongeza uwezekano wa fangasi.

7. Ikiwa unapata fangasi mara kwa mara, au una dalili k**a kuwashwa sana, uchafu mzito mweupe, maumivu au harufu isiyo ya kawaida, nitafute Whatsapp au nipigie ili kuthibitisha chanzo kabla ya kujitibu.

20/09/2026

Juisi hii ni nzuri ijaribu kutengeneza ukiwa nyumbani

20/09/2026

Nimekuwa nikiwasaidia watu wengi sana wenye Changamoto ya *KISUKARI* hasa wanaopitia Changamoto zifuatazo.

1.miguu kuwaka moto na kupata Ganzi
2.uoni hafifu
3.presha
4.kiharusi
5.upungufu wa nguvu za kiume
6.ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa
7.mwili kuishiwa nguvu...

*USIKATWE MGUU , MKONO AU KIUNGO CHOCHOTE KWA SABABU YA KISUKARI .*

K**a wewe ni mgonjwa wa kisukari na una kidonda ambacho kimekuhangaisha sana kwa mda mrefu bila ya kupata ufumbuzi basi ujumbe huu ni muhimu sana kwako .

Tunatoa huduma BURE kumuona DAKTARI kwa wangonjwa wa kisukari, Utalipia tu dawa na nutritional suppliment, pamoja na huduma za kusafisha kidonda.

Kwa Mawasiliano Piga

+255674769934

WhatsApp ANDIKA NENO DAKTARI Nitakupigia

19/09/2026

Ukifikisha miaka 40 au zaidi mara nyingi Kinga za mwili zinaanza kupungua na hata mwili utendaji kazi wake unakuwa ni tofauti na mtu mwenye miaka 25. Sasa hapa unabitaji sana supportive therapies ili kuwa imara zaidi. Sikiliza hadi mwisho WA video hii

19/09/2026

Ganda la ndimu na limao ni hazina

19/09/2026
19/09/2026

Na wale wanao kojoa mara Kwa mara tumieni hii haitawashinda

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address

Mlimani City
Dar Es Salaam
123

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pango Mshauri01 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Dar es Salaam.