AFYA TOTO

AFYA TOTO

Share

Afya na ukuaji wa mtoto .
*utindio wa ubongo
*shingo
*kukaa
*kutembea

27/02/2026

Asante kuniamini na kuamua kuanza matibabu ya watoto wako

26/02/2026

Ghafla mtoto wako kapoteza hamu ya kula na anapungua uzito 🇹🇿 🇺🇸

19/02/2026

Hongera sana kuanza matibabu ya mtoto wako kutoka USA. Asante sana kuniamini 🇹🇿

18/02/2026

Mazoezi bila virutubisho haitoshi ❤️✨✨❤️

18/02/2026

Chakula bora kwa mtoto alie chelewa kwenye hatua zake za ukuaji ❤️❤️

16/02/2026

Kwanini mtoto wako ana jipigiza sana chini. bila sababu za msingi?kuna kucheza na kuna kujipigiza

15/02/2026

Namna nzuri ya kumlaza mtoto

13/02/2026

Hongera sana kuanza matibabu ya mtoto wako kutoka Canada ❤️

12/02/2026

Umri wa kuona umefika lakini wako haoni ni vizuri. hii ni dalili ya utindio 🎥♥️♥️♥️

11/02/2026

Mlo kamili kwa mtoto mdo channzo cha kuchochea hatua zake ziende vizuri na kwa wakati. ❤️

10/02/2026

Ukuaji mzuri wa mtoto ❤️

20/12/2025

Mtoto hatakiwi kukaa na njaa atachelewa kwenye hatua zake za ukuaji

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address

Dar Es Salaam