Noth lishe

Noth lishe

Share

LISHE KWA AFYA BORA. KARIBUNI SANA.

Tunatoa huduma Bora za unga Lishe Kwa rika zote wakubwa na watoto, wazee Kwa wagonjwa hata Kwa wanaofanya mazoezi unga huu utawasaidia kupata nguvu katika kujenga misuli na kufanya diet.

09/02/2026

Zijue faida za oats Kwa mtoto wako, pindi anapotumia UNGA Lishe.

Kwa mahitaji ya unga Lishe tupigie Kwa huduma zaidi. Karibu
Wa.me/0713271116

09/02/2026

Unga Lishe humpa mtoto hamu ya kula lakini pia humfanya mtoto afurahie pindi anapokula Kwa sababu humpa nguvu na kumfanya mchangamfu muda wote.
Wasiliana nasi:
Wa.me/0713271116

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address

Mbagala Zakhem
Dar Es Salaam