We care Classic Barbershop
Karibu tukuhudumie,tunapatkana Marangu mtoni sheli.
23/05/2023
karibu We care Classic Barbershop kwa huduma bora, kumbuka tunapatikana Marangu mtoni sheli.
02/08/2022
02/08/2022
Je umewahi kufika We care Classic Barbershop kutengeneza nywele zako katikati ubora wa hali ya juu??
K**a ujawahi unasubiri nini? Fika leo upate huduma bora kwa bei poa kabisa,yaani unapendeza,unapendezaaa hadi unafurahia kuhudumiwa mwenyewe.
Kumbuka tunapatikana Marangumtoni sheli.
30/07/2022
Ukifika We care Classic Barbershop unapata huduma bora kwa bei poa,hadi mwenyewe unafurahia kuhudumiwa...
Unasubiri nini? Fika leo na ufurahie huduma zetu.
Kumbuka:tunapatikana Marangumtoni sheli.
17/07/2022
Karibu upate uduma bora kabisa,kwa bei poa,kumbuka tunapatikana Marangumtoni sheli.
08/07/2022
Huduma ya kubana mitindo,kusokota dread ni kila siku za Jumatatu,Jumanne na Alhamisi..
Mawasiliano zaidi namba zipo kwenye bango hapo. Asantee sana
06/07/2022
Tunazingatia usafi wa vifaa vyetu kabla na baada ya kukuhudumia mteja,njoo uone mwenyewe.
Karibu upate huduma bora kabisa.
24/05/2022
Ndugu mteja wetu na mdau wetu,asante kwa kutuamini katika huduma zetu,pia tunatoa huduma za kupamba maharusi (me & ke) tunaomba uweke booking mapema siku 2 kabla ya kuja kuhudumiwa ili uweze kuhudumiwa kwa wakati,
Asante sana,na endelea kutuamini.
24/05/2022
Wasiliana nasi
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Kilimanjaro
Opening Hours
| Monday | 07:00 - 20:00 |
| Tuesday | 07:00 - 20:00 |
| Wednesday | 07:00 - 20:00 |
| Thursday | 07:00 - 20:00 |
| Friday | 07:00 - 20:00 |
| Saturday | 07:00 - 20:00 |
| Sunday | 07:00 - 20:00 |
