Nasujaki's collection

Nasujaki's collection

Share

Ni wauzaji wa Vipodozi Original kabisa kutoka UK,USA,DUBAI
Wasiliana nasi 0683 741515

08/06/2026

Full Set Kiboko kabisa ya Chunusi sugu,Madoa Sugu na Mafuta usoni
** Acne Cleanser 17,000
**Acne Serum 17,000
**Radiant Glow 19,000
**Face Mask 5,000
Nasujaki Cosmetics, 0683 741515.

06/06/2026

Hii sabuni ina balaaaa yaani ndani ya siku 7 unaanza kuona matokeo

06/06/2026

πŸƒ PAPAYA SOAP πŸƒ

Sabuni yenye virutubisho vya papaya vinavyosaidia kuondoa uchafu na seli zilizokufa, kusawazisha rangi ya ngozi na kuifanya iwe laini, nyororo na yenye mwangaza wa asili.

✨ Kwa ngozi safi, yenye afya na mng'ao wa kuvutia.

πŸ“ Inapatikana Nasujaki Cosmetics – New Mwenge Plaza.

06/06/2026

πŸ–€ BLACK SOAP with Cocoa Butter & Vitamin E πŸ–€

Sabuni bora kwa usafi na utunzaji wa ngozi. Ina nguvu ya antioxidants zinazosaidia kulinda ngozi, hupunguza dalili za kuzeeka mapema (anti-aging), husaidia kusawazisha rangi ya ngozi isiyolingana na kurekebisha ngozi iliyochoka au kuathiriwa na jua.

✨ Kwa ngozi safi, laini, yenye afya na mwonekano wa kuvutia.

πŸ“ Inapatikana Nasujaki Cosmetics – New Mwenge Plaza.

06/06/2026

Hizi sabuni ni Kiboko ya Chunusi na Madoa Sugu
Order yako sasa
0683 741515

06/06/2026

Jipatie Sabuni yenye kazi zaidi ya 5, hii sio ya kuikosa kwenye set yako.

06/06/2026

Jipatie Sabuni yenye kazi zaidi ya 5, hii sio ya. kuikosa kwenye set yako.

06/06/2026

Hii inaitwa sabuni ya maajabu kutokana na ufanisi wake katika
*Kufanya nywele kuwa nyeusi
*Kuzuia nywele kukatika
*Kuondoa MBA
*Kukuza nywele
BEI Tshs 10,000/=

06/06/2026

✨ RICE & MILK FACIAL SET ✨

Pata ngozi safi, laini na yenye mng'ao wa asili kwa kutumia Rice Cleanser, Rice Toner, Milk Serum, Rice Face Cream na Sunscreen. πŸ₯°

🌾 Lishe ya ngozi yako inaanzia hapa! Karibu Nasujaki Cosmetics.

Telephone

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nasujaki's collection posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.