TidalSoul Cosmetics
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from TidalSoul Cosmetics, Beauty, cosmetic & personal care, Makumbusho near Derm Plaza, Dar es Salaam.
💄 Vipodozi vya kisasa vinavyoleta urembo, kujiamini na mwonekano wa kipekee.
✨ Huduma bora za ngozi na urembo kila siku,Ijue na itunze afya ya ngozi yako pamoja na wale wanao kuzunguka🥰
Hii ni seti ya skincare yenye salicylic acid inayosaidia kusafisha ngozi kwa kina, kupunguza chunusi na mafuta usoni,pamoja na kuondoa uchafu kwenye pores kwa ngozi laini na safi zaidi. Ina cleanser,tonic
Lotion na serum ya 2% salicylic acid zinazosaidia kupunguza chunusi,blackheads na kuziba kwa pores huku zikituliza na kufanya ngozi ionekane yenye afya zaidi🍀.. hizi zote utazipata dukani kwetu kwa bei nafuu zaidi👌
Ngozi nzuri haina umri ✨
Haijalishi una una umri mkubwa au mdogo kila mtu anastahili ngozi nzuri..inayong’aa na ya kujiamini 💛
Usisubiri “siku fulani”… anza leo na upate kuona tofauti halisi kwenye ngozi yako 😍
Hizo ni baadhi ya serums ambazo zitasaidia kupunguza madoa, kusawazisha rangi ya ngozi na kukufanya upate ngozi nzuri na ya kujiamini ✨…Endapo tu utachanganya kwenye lotion sahihi na kwa kiasi kinacho takiwa 👌
Matokeo huanza kuonekana kidogo kidogo… lakini confidence huongezeka mara moja 🔥
Chukua hatua leo.. and let the results reveal itself🌱
Your skin deserves layers of love 💙
“Lotion kwanza…Oil juu…”
Ukiwa unafanya hivyo siku zote the Glowing will talk it’s self 🍀 na Utapata matokeo yafuatayo:-
-Ngozi kuwa soft na smooth zaidi✨
*Mchanganyiko huu unafanya ngozi iwe silky sana kuliko kutumia lotion peke yake🌱
-Glow ya asili (natural glow 🌟)
Oil juu ya lotion huongeza mng’ao wa ngozi bila kuonekana oily kupita kiasi-unaonekana fresh na healthy
-Kusaidia kwa wenye ngozi kavu sana
Kwa watu wenye ngozi kavu, hii combo ni game changer…inaondoa ukavu, kupasuka, na muwasho
-Harufu kudumu zaidi 🌸
Ukipaka lotion yenye harufu kisha ukaweka oil juu, harufu inakaa mwilini kwa muda mrefu zaidi
-Protection dhidi ya mazingira
Oil inalinda ngozi dhidi ya upepo mkali na jua (kidogo), hivyo ngozi haipotezi unyevunyevu kirahisi😊
Elegance inaanza na ngozi safi ✨
Choose Final Glow ..where beauty meets confidence😌
👉 Zote zinasaidia:
* Glow/kuangaza ngozi
* Kusafisha madoa na chunusi
* Kulinda ngozi dhidi ya jua
⚠️ Ushauri mdogo:
* Tumia sunscreen zaidi mchana hata k**a ina SPF
* Usizidishe matumizi (mara 1–2 kwa siku inatosha)
* Ukiona kuwasha au breakout, acha kidogo
Unatak matokeo ya fasta?? Tumia hizi body oils 👇kupata
Glow ya haraka ndani ya wiki chache😍✨
Ngozi laini,rangi moja mwili mzima.. rangi nzuri na ya kuvutia!
Usikose hii🔥”
Mixa Niacinamide Bright Cream,Hii ni cream ya mwili/uso🪻
🌱Husaidia kupunguza madoa meusi (dark spots)
🌱Husawazisha rangi ya ngozi (even skin tone)
🌱Hutoa unyevu (moisturizing) hasa kwa ngozi kavu
🌱Ina niacinamide + vitamin C ambazo husaidia kung’arisha ngozi
Utazipata dukani kwetu kwa bei nafuu kabisa 🫠
05/04/2026
Lotion hii ni nzuri sana katika 👇
🍃Kulainisha ngozi💧(kuongeza unyevu)
🍃Kuzuia ngozi kukauka
🍃Kuifanya ngozi iwe laini na nyororo
🍃Kulinda ngozi ili isiharibike kirahisi
Utaipata dukani kwetu kwa bei nafuu kabisa🌹
Skin brightening by using these two combos.. lighten up honey 🍯 shower gel and lighten up body butter .. available in an affordable price 🥰
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
Makumbusho Near Derm Plaza
Dar Es Salaam
