Rubaga_beauty_
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Rubaga_beauty_, Health/Beauty, Dar es Salaam.
23/07/2023
MATAJIRI POLENI NA UCHOVU😎
Si mnaijua biashara yetu lakini
Vijana wenu tunatuma mizigo kokote na katika hali yoyote yani iwe mvua iwe jua😆
Wateja wetu wa mikoani na nchi jirani uwanja pia ni wetu utachagua unapenda kutumia usafiri gani yani bus au loli
Au tukutumie njiwa😅😅🙌🏾
Asanteni sana kwa kutuamini na kutuchagua
Call/whtsap +255 763 297 202
Location: msimbazi kkoo
05/07/2023
HELLOW BOSSES ❤️🤎
19/06/2023
20/05/2023
Hellow
Nywele inaitwa GOODDESS LOCKS
Inapatikana dukani katika rangi 5 tofauti
Jumla ni 10000 kuanzia pcs10 na zaidi na rejareja ni 13000
Kichwani inasukwa bunda3 na katika bunda moja kuna pcs20
Ni nyepesi ✅
Unaweza s**a zaidi ya mala moja
Location: Msimbazi kkoo
Whtsap/call +255 763 297 202
12/05/2023
Wateja k**a wateja🙏🥰
26/04/2023
Nywele inaitwa RIVER BRAIDS
Inapatikana dukani kwa jumla na rejareja
Jumla ni 10000 kuanzia pcs 10
Rejareja ni 12000
Zinapatikana katika rangi 7 tofauti
Nywele ni inch14
Ni nyepesi
Inasukwa pcs 4
Location: msimbazi kkoo
Whtsap/call +255 763 297 202
Delivery🚚✅
25/04/2023
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Rubaga_beauty_ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.
Subscribe
We will notify you when anything happens in Dar es Salaam.