Suzzieyy_

Suzzieyy_

Share

Former Tv And Radio Presenter
Digital Host OnLineTv > #TalkToSuziePodcast
TALK TO SUZIEY

10/10/2025

Hamza anaomba hela ya Kununua P2 Hamza anamwambia mume wa mtu amemmiss Je Hamza huyo ni wa k**e au wa kiume ??? Huyu dada anaomba ushauri afanye kitu gani ili aweze kunusuru ndoa yake ?

09/10/2025

Dada amuua Mama yake mzazi kwa sumu na kuanza kutembea na kaka yake wa Damu Familia yaharibika waanza kutembea wao kwa wao

29/10/2022

Wanasimba Wenzaangu Leo Kuna Nini Mbona Tuna Furaha Hivi Kuna Nini Kitatokea Baadae Mwanza

27/10/2022

Mgunda Alikuwa Hajakutana Na Timu Ngumu Sasa Kazii Imeanza

27/10/2022

Pamoja na Simba Kufungwa Bado Iko Kwenye Makundi ya CAF

27/10/2022

Simba imefungwa Tanzania nzima imehuzunika 😭😭

25/10/2022

Unamchukuliaje mdada unayemtongoza leo kesho anakupa kila unachotaka kutoka kwake ???

Photos from Suzzieyy_'s post 21/10/2022

Ijumaa Leo Umejiandaa kwa Style Gani ???

Weekend imeanza Tune 100.5
The PLAYLIST iko on air ryt now 🔥🔥🔥

Photos from Suzzieyy_'s post 21/10/2022

Leo tuko nae Kwenye The PLAYLIST 100.5 pamoja na Ukonga Hood Make sure Sauti ya Radio Iko Juu Tumejipataaa

18/10/2022

Nitajie vitu 5 unavyovipenda kuhusu mimi na unavyovichukia pia kuhusu mimi

Time ya The PLAYLIST now now Tune 100.5 Unasikiliza ukiw wapi ???

Cc

17/10/2022

Ukipata Bahati ya Kuwa Shabiki wa Simba Usiichezee ❤️

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Dar Es Salaam