Grapes Lotion

Grapes Lotion

Share

Tunauza Original Products pekee Tunapatikana Kariakoo, Mafia na Jangwani
Wasiliana nasi: 0714949652
“Glow With Confidence Shine With Beauty!”

Photos from Grapes Lotion's post 05/10/2026

* Kulainisha na kulinda ngozi dhidi ya ukavu.
* Kuifanya ngozi iwe na mwonekano wenye glow.
* Cocoa butter husaidia kuifanya ngozi iwe soft na smooth.
* Vitamin E husaidia kutunza na ku-support skin barrier.
* Inaweza kusaidia kupunguza mwonekano wa ngozi iliyokauka na rough.

17/09/2026

✨ QINGLING MULTI-PEPTIDE FIRMING ANTI-WRINKLE CREAM ✨

Unahisi ngozi yako imeanza kukauka, kupoteza ulaini na kuonekana na mistari midogo? 😍 Hii cream imeundwa kwa ajili ya kusaidia ngozi ionekane laini, yenye unyevunyevu na yenye mwonekano wa youthful.
* 🧬 Multi-Peptide Complex – husaidia kuipa ngozi mwonekano ulio imara na wenye elasticity.
* ✨ Anti-wrinkle care – husaidia kupunguza mwonekano wa mistari midogo na mikunjo.
* 💧 Deep hydration – huongeza unyevunyevu na kusaidia ngozi isionekane kavu.
* 🌟 Firming – husaidia ngozi kuonekana tight, smooth na yenye afya.
* 🛡️ Deep repair & protection – husaidia kutunza skin barrier na mwonekano wa ngozi iliyochoka.
* 👩🏽‍🦱👨🏽 Inafaa kwa wanawake na wanaume, na kwa matumizi ya kila siku.

🔥 K**a unataka ngozi yenye softness, glow na mwonekano wa ujana zaidi, hii ni cream ya kuipa nafasi!

14/09/2026

Ramantic Beauty Body Cream

# MSISEME MMEROGWA HAMUWI WEUPE NIMELETA HII MWISHO YA MATATIZO # #

Haya nipo na warembo wangu Wanao penda rangi za warabu wa omani Sasa leo kile kilio cha wale wanaosema wanataka body Cream za kuwafanya kuwa weupe halaf bei iwe nzuri haya sasa iyo apo hii bei yake ni ya kupata watu wote Na ni nzuri kuliko Izo zote za bei kubwa kiboko kabisa hii ndio tunaita funga mwaka hii sasa ndio itakuwa 🔥 # YAO # #🔥
HII Sasa Ata kwa mabiharusi inawafaa zaid mana ipo chap kwa haraka kipengele uje nacho wewe ila kwa iyo Cream ni moto mwengine 🙌 Kazi kwako Jichanganye utumie Lotion zengine za kuwa mweupe zikutoee sugu kisha ukajitibie kwa garama kubwa

35000
0714949652

13/09/2026

* ✨ Husaidia kupunguza madoa meusi na alama zinazobaki baada ya chunusi.
* 🌟 Husaidia kufanya ngozi iwe na glow na tone iliyo sawa.
* 💧 Huongeza unyevu kwenye ngozi.
* Ina Niacinamide 5%, ambayo husaidia kwenye madoa na kuboresha mwonekano wa ngozi.
* Ina Squalane, inayosaidia kulainisha na kulinda unyevu wa ngozi.

21/08/2026
19/08/2026

* Kupunguza mwonekano wa mistari midogo na wrinkles
* Kusaidia ngozi kuwa firm/tight
* Kuongeza moisture na kufanya ngozi ionekane smooth
* Ina bidhaa nyingine zenye peptides, niacinamide, vitamin C na collagen kulingana na aina.

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Grapes Lotion posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Dar es Salaam.