Bodygainclictz

Bodygainclictz

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Bodygainclictz, Health/Beauty, Kimanga, TABATA, Dar es Salaam.

28/05/2026

Offer inaisha tarehe 3 🔥🔥🔥🔥

25/05/2026

K**a unatamani kuongeza umbo la natural, kujaza mwili taratibu na kupata muonekano wenye mvuto zaidi, basi Aguaje inaweza kuwa chaguo sahihi kwako ✨
Wanawake wengi wameendelea kuipenda kwa sababu ya uwezo wake wa kusaidia kuongeza hips, makalio na mwonekano wa naturally 🔥🔥🔥🔥

25/05/2026

🔥🔥🔥

21/05/2026
18/05/2026

Mje tufanye finishing dears 😂😂😂😂 hakuna mbaya duniani🔥 na vile tuna aguaje plus mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥

16/05/2026

Sio hadi muachike ndo mtafute nyama nyama jamani. Mje mpendeze 📌kabla ya kuachika. Hii story imeniuma hadi kwenye maini 🥹🥹🥹🥹

13/05/2026

💫 Siri ya ngozi inayong’aa si vipodozi vingi, bali ni lishe sahihi ya ndani. Aguaje imekuwa chaguo la wengi wanaotafuta mwonekano wa asili na afya ya ngozi.

13/05/2026

Sio sisi tunasema… ni wateja wenyewe 😌🔥
Aguaje imeendelea kuwapa confidence, curves na glow wanayoipenda 🤭🍑✨
Ukiona mtu anarudi tena baada ya miaka yote hiyo ujue matokeo yapo kweli ❤️
Thank you kwa trust yenu beautiful people 🫶🔥

12/05/2026

🍒✨ AGUAJE PLUS IMERUDI TENA 🔥

Je unatamani kuongeza hamu ya kula, kupata umbo la kuvutia na ngozi yenye glow nzuri? 😍
AGUAJE PLUS imekuja kukupa confidence unayoitaka ❤️

✨ Inasaidia kuongeza hamu ya kula
✨ Inasaidia kubalance hormones
✨ Inasaidia kuongeza makalio na umbo la k**e
✨ Inasaidia kuifanya ngozi kung’aa na kuvutia 😮‍💨💋

Ni muda wako wa kujiamini zaidi, kuvaa nguo zako vizuri na kujipenda zaidi 🥰✨

Wengi waliisubiri… na sasa finally imerudi better than ever 🔥🍒

📩 DM kuorder
📦 Tunafanya delivery popote ulipo tunakufikia

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Kimanga, TABATA
Dar Es Salaam
11000