rara__cosmetics_

rara__cosmetics_

Share

We sell original product from different county

30/09/2026

Seoul aye cream

55,000

0767853675

24/09/2026

✅. husaidia kulinda ngozi dhidi ya ukavu na irritation.

✅. husaidia kupunguza muonekano wa dark spots na rangi isiyo sawa

✅. husaidia ngozi ionekane yenye mwanga

✅ kulainisha ngozi na kuongeza unyevu .

80000

0767853675

18/09/2026

Marine collagen

120,000

0767853675

Delivery tunafanya .


❤️💞❤️

15/09/2026

HABARI ZENU JAMANI

11/09/2026

Cocoa butter inalainisha ngozi
Inazuia ngozi isipoteze unyevu
Inasaidia ngozi kavu inayopasuka
Inaondoa stretch mark kabisa
Inatuliza ngozi yenye ukavu

35000

0767853675

Delivery tunafanya

08/09/2026

AmLactin 12% Lactic Acid

☑️ Husaidia kuondoa dead skin na kufanya ngozi iwe smooth.

☑️ Husaidia kupunguza rough/bumpy skin k**a keratosis pilaris (“chicken skin”)

☑️ Husaidia dark spots/marks za mwilini taratibu kwa ku-exfoliate ngozi.

☑️ Pia husaidia kuongeza moisture kwenye ngozi, hivyo ngozi kuwa laini.

Jinsi ya kutumia

Anza mara 2–3 kwa wiki, hasa k**a hujawahi kutumia lactic acid. Pakaa kwenye mwili baada ya kuoga na kukausha ngozi. Ukiona ngozi imezoea, unaweza kuongeza matumizi kulingana na tolerance yako.

Muhimu: Usichanganye AmLactin 12% kwenye eneo moja na retinol, glycolic acid, salicylic acid au exfoliating scrubs kwa wakati mmoja—inaweza kukuwasha.

07/09/2026

Tujipende jaman .

0767853675

06/09/2026

USITUMIE GUA SHA SEHEMU ZENYE , VIDONDA,IRRITATION.

0767853675

04/09/2026

We’re still delivering your orders straight to your doorstep.

31/08/2026

Haichubui ✅

Inafanya ngozi kuwa soft ✅

Inaondoa sugu na madoa ✅

65000

0767853675

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Mabibo
Dar Es Salaam
16109

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when rara__cosmetics_ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Dar es Salaam.