mwana_nutritions
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from mwana_nutritions, Health/Beauty, Dar es Salaam.
18/10/2024
Kwa mawasiliano/0786598398
21/08/2024
10/02/2024
05/01/2024
π§πππ π¬π ππ¨ππ¨π π¨ π¬π π§ππ§πππ’ ππ πππͺππ¦ππ₯π (π‘πππ‘π π‘π π‘ππ) π
πππͺππ¦ππ₯π (πππ π’π₯π₯ππ’πππ¦/π£πππ)
π Ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu katika mfereji wa njia ya haja kubwa na kuoelekea kuota kinyama sehemu ya haja kubwa
ππππ‘ππ’ πππ πππͺππ¦ππ₯π
(πππ π’π₯π₯ππ’πππ¦)
β Tabia ya kukaa sehemu moja kwa muda mrefu mfano (Madereva/Mafundi kushona)
β Tatizo sugu la kuharisha
β Ujauzito
β Uzito wa mwili kupita kiasi
β Kufanya ngono Kinyume na Maumbile (kulawitiwa)
β Kupata Choo Kigumu
β Kua na mgandamizo mkubwa tumboni
β Kunywa pombe
β Kula sana nyama nyekundu
β Vidonda vya tumbo (Ulcers)
β Ngiri (Chango/Hernia)
β Kula sana pilipili
β Kunyanyua vitu vizito
ππππππ ππ πππͺππ¦ππ₯π
(πππ π’π₯π₯ππ’πππ¦)
βοΈ Kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
βοΈ Kujitokeza kwa kinyama eneo la haja kubwa
βοΈ Kutokewa na kiuvimbe katika tundu La Haja kubwa
βοΈ Kupata kinyesi chenye damu
βοΈ Kupata maumivu makali wakati wa
kujisaidia haja kubwa
βοΈ kutokwa na uteute sehemu ya haja kubwa
βοΈ Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa..........
kwa mawasiliano/0786598398 ......
24/12/2023
MAUMIVU MAKALI YA NYONGA Ni vyema kutafuta usaidizi wa kitabibu haraka K**a unapata maumivu ya nyonga baada ya kuanguka au kupata ajali K**a unapata shida kutembea au k**a unashindwa kusimama kwa mguu ulioathirika, K**a una homa na una maumivu kwenye nyonga Ni vizuri kuonana na daktari atambue nini sababu ya maumivu yako UNACHOWEZA KUFANYA MWENYEWE UKIWA NA MAUMIVU YA NYONGA K**a unapata maumivu ya nyonga, jaribu kufanya mambo yafuatayo ili kupunguza karaha unayopata Tumia dawa za maumivu. Madawa k**a vile βacetaminophenβyanapunguza maumivu na βibuprofenβ inapunguza uvimbe pia * Tumia madawa ya kuchua βcounterirritantβ, madawa ya kuchua yanaapoza na kuongeza mzunguko wa damu mahali palipoathirika Jaribu kuendelea na shughuli zako k**a kawaida kadri unavyoweza, kumbuka kupumzisha nyonga na miguu yako kila unapohitaji. Epuka shughuli au mazoezi yanayoleta maumivu au yanayosababisha maumivu kuzidi β’ K**a una βbursitisβ, jaribu kuweka barafu sehemu ,,,huduma zetu zinaendelea kwa ofa ,package ya mifupa ni 285000/........
kwa mawasiliano/0786598398
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when mwana_nutritions posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.
Subscribe
We will notify you when anything happens in Dar es Salaam.