Dr.JORVICK

Dr.JORVICK

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dr.JORVICK, Health/Beauty, Dar es Salaam.

08/10/2022

Madhara makubwa ya P.I.D ni kukosa uwezo wa kubeba ujauzito

Tambua kwamba mtoto ni baraka
Ivyo unapaswa kuchukua hatua sitaiki kabla tatizo hili halijawa kubwa zaidi

📞+255717645102

27/09/2022

*UGOJWA WA P.I.D NA TIBA YAKE*
👇
*Pelvic Inflammatory Disease*
*Ni maambukizi katika via vya uzazi. Wanawake wengi
husumbuliwa na tatizo hili kulingana na sababu
zifuatazo*-:

👉 *Matumizi ya antibiotics Kwa wingi, kimsingi
matumizi haya huuwa bacteria wote, hivyo wanapokufa
unakosa ulinzi wa bacteria wa kupambana na
maambukizi* . *Kadhalika ujauzito ikiwa ni pamoja na
kujifungua . Pia sababu nyingine ni matumizi ya
condoms na kufanya ngono zembe* .

*DALILI ZA UGONJWA WA PID*
*1️⃣ Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri,
yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa*
*2️⃣ Kuwashwa sehemu za siri*
*3️⃣ Uke kutoa harufu mbaya*
*4️⃣ Maumivu ya tumbo chini ya kitovu*
*5️⃣ Uke kuwa wa ulaini sana*
_ *Maumivu wakati wa tendo la ndoa*
_ *Kuvurugika Kwa hedhi*
_ *Kutokwa majimaji* *ukeni* *kupita kiasi*
_ *Maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa choo
kubwa*
_*Homa, uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya
kula*
*MADHARA YA PID*
• *Ugumba*
• *Kansa ya shingo ya kizazi*
• *Mirija ya uzazi kuziba*
• *Majeraha kwenye mirija ya uzazi*
Tiba zipo
Karibu sana !!
Wasiliana nasi +255717645102

25/09/2022

Dr.JORVICK
+255717645102 👇
BAWASIRI
P.I.D
UZAZI {KE&ME}

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Dar Es Salaam