Scola G
SITAKUFA BALI NITAISHI
NAMI NITASIMULIA MATENDO MAKUU YA MUNGU
Bmm Tanzania
Jmn sukilizeniii
Kwa nn wnaume wakiwakosea wake zao hasa katika usaliti wanaona NI rahis sana wanawake kusamehe kuliko wao wakisalitiwa???
25/10/2025
Wadau WA Young Africans Sports Club tunawapiga ngap hawa nyumbu
Je? Unawashauri nini Yanga??
Je, kuna USALAMA gani WA vifaa tunavyotumia wasichana tunapoenda saluni hasa kutengeneza KUCHA hasa zile brush za kusuguliwa miguu???
Je,kuna USALAMA kiasi gani kwa magonjwa ambukizi???
Drop your comment
Je,wewe na Mr.wako mlionana wap ??
Je ,unaamini sehemu ya makutano yenu yamechangia hapo mlipo??
25/07/2024
Habari zenu
Karibuni katika page yangu , tushauriane vitu mbali mbali vya kimaisha navya kutujenga zaidi
Kwa maoni na ushauri DM
Hi everyone
Welcome to my page
