Barwincosmetics
We are selling cosmetics and skin care products, jewelery, handbags and lingeries.
Unaijua Siri ya kunukia vizuri siku nzima?
Siri Iko hapa hii perfume ni 🔥🔥🔥unanukia siku nzima na hata ukifua harufu haiishi kwenye nguo.
Unaipata kwa 40,000/-
Piga/ Whatsapp 0782869984 tukuhudumie
24/09/2025
KIDUDE CHA MAAJABU (WIX ESSENCE CREAM) .
Usiteseke tena na chunusi wakati mkombozi yupo.
Unaipata kwa 35,000 tu.
Tupigie 0782869984 tukuhudumie.
#
Jamani USIKUBALI kukaaa na mikono /viganja vigumu au magaga miguuni. Tumia wix hand lotion ujionee maajabu. Mikono na miguu inakuwa milaini sana .
Inapatikana kwa 20,000 tu.
Tupigie/ Whatsapp 0782869984 tukuhudumie.
Delivery pia tunafanya
TUPIGIE / WHATSAPP 0782869984 TUKUHUDUMIE
15/04/2025
Serum ya Royal secret ya kuchanganya kwenye lotion au body cream yake ni🔥🔥.
Kwa wale wanaopenda kung'aa tuuu.
Delivery pia tunafanya.
15/04/2025
Hii ndio kazi ya Royal secret. Unamaliza matatizo yote ya ngozi na kupata ile glowing skin nzuri mnooo.
Piga/ Whatsapp 0782869984 tukuhudumie
Takatisha ngozi yako kuanzia bafuni. Moja ya shower gel inayofanya maajabu kwa Sasa ni hii.
Piga 0782869984 tukuhudumie
12/04/2025
Huu mwaka ni kuoga kutakataaa jamani unapakaje mafuta mazuri na hujaoga na sabuni nzuri😜.
Delivery ipo tupigie/Whatsapp 0782869984 tukuhudumie.
12/04/2025
NEW FACE CREAM IN TOWN 🔥🔥.
📌📌Mwali wangu, mabibi harusi na wale wanaopenda kung'aa tuuu hii face cream ndio mwamba wao.
🌸Inang'arisha ngozi vizuri sana.
🌸Inasafisha ngozi iliyoharibika na mafuta, una weusi usioisha hii inarepair na kukupa ngozi yenye muonekano mpya kabisa.
🌸Inaondoa makunyanzi usoni(wrinkles)
🌸Inaondoa madoa (Wenye dark spots za chunusi au weusi usoni unamaliza wote)
🌸Inasafisha wale Wenye hyperpigmentation
Delivery tunafanya na mikoani tunatuma .
PIGA/Whatsapp 0782869984 tukuhudumie
13/03/2025
✅Kama unataka kungaaaaa🙌🙌🙌🙌
Tumia hii shower gel aiseee
✅Kama una mabakaaaaa
✅Kama unaukurutuuuuuu😜
Kheeeeee sijui nataka kusemajeeee😂
Au basiiiiiiii
Bei 25,000
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Kimanga Stand
Dar Es Salaam
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 22:00 |
| Tuesday | 09:00 - 22:00 |
| Wednesday | 09:00 - 22:00 |
| Thursday | 09:00 - 22:00 |
| Friday | 09:00 - 22:00 |
| Saturday | 10:00 - 22:00 |
| Sunday | 09:30 - 22:00 |
