Hg jhtjknf
Football and other social media
08/01/2026
Mfano wa barua jtatu kwa walimu wakuu huo Mfano wa barua😂😂😂
“Kwanza nikupongeze kwa kutafuta taarifa sahihi, kuna watu badala ya kutafuta raarifa sahihi nimeona kuna mdahalo unaendelea kwamba kulikuwa kuna masimango yamefanywa kwa kwa Klabu ya Simba kitu ambacho sio sahihi.”
“Presentation yangu haikuwa inailenga Simba, ilikuwa inazungumzia maendeleo ya vilabu na mabadiliko yake. Katika presentation hiyo kulikuwa na sehemu k**a tatu [3] ambazo niliwasilisha.”
“Eneo la kwanza nilizungumzia changamoto za vilabu vya Afrika, ukizungumzia changamoto za eneo hilo hakuna mahali utakimbia uongozi bora unaopaswa kuendesha vilabu [Mfano uliotumika ni wa mashabiki wa Simba lakini haikuwa na tafsiri kwamba Simba haina uongozi mzuri].
“Namuheshimu sana Mangungu, namheshimu sana kaka yangu Magori, ambao wote hawa ni viongozi wazuri na wana uzoefu mkubwa kwenye mpira lakini tunacho kizungumza ni utawala bora sio uongozi bora”
- Eng. Hersi Said, Rais wa Yanga na Mwenyekiti wa vilabu Afrika [ACA].kwa ufafanuzi zaidi Njoo mlungwana sport update Whatsap channel
According to reality mchezo Kati ya yanga na js Kabylie yanga ananafasi kubwa sana kuliko mpinzani wake according to me yanga 2-0
25/10/2025
Dodoma to Dar kucheki Yanga
21/03/2025
Tunazihitaji nyakati ngumu ili kutufahamisha Nani rafiki Nani familia Nani abiria🛹🛹🛹✍🏿✍🏿✍🏿✍🏿
01/03/2025
As the crescent moon Is sighted my our heart be illuminated with hope faith compassion ramadhani Mubaraq for all Islamic🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
04/02/2025
Tukutane jamuhuri after bash uvccm 2025 mama mitano tena nimesha kata upepo mita 100 🤙🏿🤙🏿
12/10/2024
⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️
Watu wa dar muwe makini barabarani breakdown zote zipo arusha
23/09/2024
Here's to another year of chasing dreams, making memories, and embracing life's journey. Am 1 today. Happy birthday 🎂 to me.24/09
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Kwa Azizi Ally
Dar Es Salaam
MTONIKWAAZIZIALLY
