Lau Care
Beauty, cosmetics & personal care
Open: 9:00am-9:00pm
Whatsapp: 0758046591
Feel Good, Look Great, Live well
💕 F&W Gold Ultimate Body Lotion – No. 3 Anti-Stretch Marks
💕Inasaidia kutunza ngozi yenye michirizi (stretch marks) na kuifanya iwe laini, yenye unyevu na smooth zaidi.
Inafaa kwa ngozi iliyopata stretch marks kutokana na ujauzito, kupungua uzito au mabadiliko ya mwili.
📲 Call/WhatsApp: 0758046591
💕F&W GOLD ULTIMATE :2 UNIFIER SERUM
💕 Serum hii inasaidia kusawazisha rangi ya ngozi na kupunguza muonekano wa weusi kwenye maeneo k**a viwiko, magoti na shingo
Inasaidia sana kuondoa ule weusi na sugu kwenye sehemu zilizoathirika
📲 Call/WhatsApp: 0758046591
Una mikono migumu, inayokak**aa au yenye weusi?
Una viwiko vyeusi, magoti meusi au shingo yenye weusi?
💕 Tumia F&W Gold Ultimate :2 Unifier kwa ajili ya kulainisha mikono yako. Inatumika kila baada ya kuosha mikono ili kuipa ngozi ya mikono yako unyevu na kuiondolea kule kukak**aa.
Ni rahisi kutembea nacho kwenye handbag yako☺️
📲 Call/WhatsApp: 0758046591
Carot soap!🥕
Cleanse- exfoliate- glow!
So carrot exfoliating soap; hutoa uchafu, vumbi na mabaki ya vipodozi bila kukaza ngozi huku ikikupa ile natural radiance.
Call/Whatsapp: 0758046591
F&W So white Soaps
💕Zina Kojic Acid na Vitamin C
Hivyo hufanya kazi haraka ya kuondoa madoa, kung'arisha na kulainisha ngozi.
💕Zinatumiwa na watu weupe wanaotaka kung'aa bila kubakisha weusi kwenye viwiko, magoti, vidole wala kucha.
Call/ Whatsapp: 0758046591
We do delivery📌
*F&W So white.*
💕Ina formula maalum yenye Kojic Acid, Vitamin C na Bearberry Extract.
Hivyo Inafanya kazi haraka kwa kuondoa madoa, kung'arisha rangi ya ngozi ya asili huku ikilainisha ngozi.
💕Inatumiwa zaidi na watu weupe wanaotaka kung'aa bila kubakisha weusi kwenye viwiko, magoti, vidole wala kucha.
Call/ Whatsapp: 0758046591
🚚 Tunafanya free delivery DSM na mikoani tunatuma.
Body oil ni muhimu sana maana inasaidia sana kuzuia ukavu na kukauka kwa ngozi kwa kulinda ule unyevu kwenye ngozi na kuifanya iwe laini na nyororo.
Na faida ya ziada ni kusawazisha rangi ya ngozi yako na kukufanya uwe na rangi moja.
Kupata body oil ya chaguo lako piga 0758 046 591
Body oil ni muhimu sana maana inasaidia sana kuzuia ukavu na kukauka kwa ngozi kwa kulinda ule unyevu kwenye ngozi na kuifanya iwe laini na nyororo. Na faida ya ziada ni kusawazisha rangi ya ngozi yako na kukufanya uwe na rangi moja.
Kupata body oil ya chaguo lako piga 0758 046 591
🥕Carrot Premium oil is the secret for smooth, bright and radiant skin.🧡
Zinapatikana duka letu la Madale.
Call/Whatsapp: 0758 046 591
💕Fair & White Cream Milk
Body cream yenye extreme hydration inayosaidia kuifanya ngozi iwe soft, smooth na yenye muonekano wa even & radiant.
Inafaa kwa aina zote za ngozi
📍 Madale Sheraton
📲 Call/WhatsApp: 0758046591
🚚 Tunafanya delivery
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Dar Es Salaam
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Lau Care posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.
