Ampola Regency Hospital
Formerly known as Regency Hospital, now operating as Ampola Regency Hospitalโ. Delivering better trusted care, same team, new identity.
01/09/2026
๐ฆด ORTHOPAEDICS CLINIC | KLINIKI YA MIFUPA NA VIUNGO
Move better. Live better. Get expert orthopaedic care at Ampola Regency Hospital. Our clinic, led by Dr. Jorge R. Romero โ Orthopedics, Trauma & Joint Replacement Surgeon, provides care for trauma and injuries, bone & joint surgery, joint replacement, fractures & dislocations, and rehabilitation & recovery.
๐๏ธ MondayโFriday: 8:00 AM โ 5:00 PM
๐๏ธ Saturday: 8:00 AM โ 1:00 PM
๐ +255 222 150 500 / +255 784 417 500
๐ Aly Khan Road, Upanga, Dar es Salaam
Tembea vizuri. Ishi vizuri. Pata huduma bora za mifupa na viungo katika Ampola Regency Hospital. Kliniki yetu ikiongozwa na Dr. Jorge R. Romero โ Daktari Bingwa wa Mifupa, Majeraha na Ubadilishaji wa Viungo, inatoa huduma za matibabu ya majeraha, upasuaji wa mifupa na viungo, ubadilishaji wa viungo, mifupa iliyovunjika/kutoka, pamoja na ukarabati na urejeshaji wa uwezo wa mwili.
๐๏ธ JumatatuโIjumaa: 8:00 AM โ 5:00 PM
๐๏ธ Jumamosi: 8:00 AM โ 1:00 PM
๐ +255 222 150 500 / +255 784 417 500
๐ Aly Khan Road, Upanga, Dar es Salaam
Early care restores movement. | Huduma ya mapema husaidia kurejesha uwezo wa mwili. ๐
27/08/2026
PROTECT YOUR CHILD. PREVENT POLIO. ๐
Polio is preventable through vaccination. Parents and guardians are encouraged to ensure that all children under 9 years of age receive the polio vaccine during the campaign.
๐
27โ30 August 2026
โฐ 8:00 AM โ 3:00 PM
๐ Ampola Regency Hospital
๐น๐ฟ MPE CHANJO, ZUIA POLIO!
Chanjo ni kinga muhimu dhidi ya polio. Wazazi na walezi, hakikisha mtoto wako mwenye umri chini ya miaka 9 anapata chanjo.
๐ For assistance & enquiries / Kwa msaada na maelezo: +255 784 417 500
Together, letโs protect our children and keep Tanzania polio-free.
24/08/2026
๐ Heri ya Maulid ya Mtume Muhammad ๏ทบ ๐โจ
Katika siku hii tukufu ya Maulid Al-Nabi ๏ทบ, tunawatakia amani, upendo, baraka na furaha wewe, familia yako na jamii kwa ujumla. ๐คฒ
Tukumbuke na kuendeleza mafundisho mema ya Mtume Muhammad ๏ทบโupendo, huruma, umoja, heshima, unyenyekevu na kujali wengine. ๐
Kutoka kwa uongozi na timu nzima ya Ampola Regency Hospital, tunawatakia Maulid yenye amani, baraka na furaha.
๐ Maulid Mubarak!
---
๐ Happy Maulid Al-Nabi ๏ทบ ๐โจ
On this blessed occasion, we wish you and your family peace, love, happiness and abundant blessings. May the values of compassion, kindness, unity and care for one another continue to guide us.
From all of us at Ampola Regency Hospital, we wish you a peaceful and blessed Maulid Al-Nabi. ๐
Maulid Mubarak! ๐๐คฒ
Upendo wa dhati hauonyeshwi kwa maneno pekee, bali kwa vitendo vinavyogusa mioyo. โค๏ธ
โKupitia ziara yetu katika kituo cha Amani Orphanage, timu ya Ampola Regency Hospital ilipata fursa ya kushiriki upendo, michezo, na furaha isiyo na kifani na watoto hawa wapekee. Ziara hii imezidi kututhibitishia kuwa hakuna zawadi kubwa k**a kutoa muda wako na kujali kwa walio karibu nawe.
โKila hatua tunayopiga pamoja na jamii yetu ni mwanzo wa kesho yenye afya, amani na matumaini makubwa zaidi. ๐คโจ
โAfya yako na ya familia yako ndiyo kipaumbele chetu namba moja. Tembelea Ampola Regency Hospital leo upate huduma bora za afya zenye upendo na kujali kutoka kwa wataalamu wetu!
โ๐ฉบ๐ฅ
โAmpola Regency Hospital โ Caring for People. Supporting Communities. Growing Together.
โ
Zaidi ya huduma za afya, tuko hapa kwa ajili ya kugusa maisha. ๐
โZiara yetu katika kituo cha Amani Orphanage ilitukumbusha tena kwamba zawadi kubwa zaidi ni muda, upendo na umakini tunaoelekeza kwa wengine. Timu ya Ampola Regency Hospital ilifarijika sana kushiriki tabasamu, michezo na mazungumzo na watoto hawa waajabu.
โKila tabasamu tunalolijenga leo ni mbegu ya matumaini kwa kesho.
โAmpola Regency Hospital โ Caring for People. Supporting Communities. Growing Together.
โ
Wakati mwingine zawadi kubwa zaidi tunayoweza kutoa si vitu tu tunavyobeba, bali ni muda, upendo na kujali tunaposhirikiana.
Katika ziara yetu Amani Orphanage, timu ya Ampola Regency Hospital ilipata nafasi ya kuwa pamoja na watoto, kushiriki nao kwa furaha, tabasamu, mazungumzo na nyakati za kukumbukwa. ๐ค
Kwa Ampola Regency Hospital, kujali jamii ni sehemu ya dhamira yetu. Tunapoleta tabasamu, tunajenga matumaini. Tunaposhirikiana, tunakua pamoja. โค๏ธ
Ampola Regency Hospital โ Caring for People. Supporting Communities. Growing Together.
๐ Moments That Matter. Smiles That Stay. | Nyakati Zenye Maana. Tabasamu Zinazobaki.
Sometimes, the greatest gift we can give is not what we bring, but the time, love and attention we share. ๐ค
During our visit to Amani Orphanage, the Ampola Regency Hospital team had a beautiful opportunity to spend time with the children, share smiles, laughter, conversations and unforgettable moments together. ๐ง๐ฝ๐ฆ๐ฝ

๐ค

10/08/2026
โค๏ธ Giving Back. Growing Together. | Kutoa kwa Jamii. Kukua Pamoja.
On 8th August 2026, the Ampola Regency Hospital team spent a memorable day in Bagamoyo filled with compassion, teamwork, culture and fun.
๐ค We started at Tumaini Orphanage Center, where we connected with the children, provided basic health screenings including malaria and hepatitis testing, and donated essential supplies such as cooking oil, salt, soaps and other necessities.
๐๏ธ We then explored the historic Kaole sites with the Tanzania Forest Services (TFS) team, learning and appreciating our rich heritage.
๐๏ธ From there, it was time for team-building games and sports at the beach, creating stronger bonds beyond the workplace.
โฝ The day ended with an exciting football match against TFS Bagamoyo, finishing 1โ1, with Mikidadi scoring a dramatic late equaliser for Ampola.
๐น๐ฟ
Tarehe 8 Agosti 2026, timu ya Ampola Regency Hospital ilitumia siku ya kipekee Bagamoyo, ikiwa na shughuli za kujali jamii, ushirikiano, kujifunza kuhusu utamaduni na burudani.
๐ค Tulianza katika Kituo cha Watoto cha Tumaini, ambapo tulipata nafasi ya kuungana na watoto, kutoa huduma za awali za uchunguzi wa afya ikiwemo vipimo vya malaria na homa ya ini, pamoja na kutoa mahitaji muhimu k**a mafuta ya kupikia, chumvi, sabuni na vifaa vingine.
๐๏ธ Baadaye, kwa kushirikiana na timu ya Tanzania Forest Services (TFS), tulitembelea maeneo ya kihistoria ya Kaole, kujifunza na kuthamini zaidi urithi wetu wa taifa.
๐๏ธ Safari iliendelea kwa michezo ya kujenga timu na burudani ufukweni, ikiimarisha mshik**ano na mahusiano yetu nje ya mazingira ya kazi.
โฝ Siku ilihitimishwa kwa mchezo wa kusisimua wa mpira wa miguu dhidi ya TFS Bagamoyo, ambapo mchezo uliisha kwa sare ya 1โ1, huku Mikidadi akiifungia Ampola bao la kusawazisha dakika za mwisho.
โค๏ธ Siku ya kutoa kwa jamii, kuungana, kujifunza na kukua pamoja k**a timu moja.
Ampola Regency Hospital โ Caring for People. Supporting Communities. Growing Together.
07/08/2026
Today, we celebrate the farmers and agricultural communities whose hard work feeds our families and strengthens our nation. ๐ฑโค๏ธ
At Ampola Regency Hospital, we recognize that a healthy community is the foundation of a strong and productive Tanzania. We remain committed to supporting the health and well-being of individuals, families, and communities.
Tunawapongeza wakulima wote kwa mchango wenu mkubwa katika kujenga Tanzania yenye afya, nguvu na maendeleo. ๐พ๐น๐ฟ
๐ Ampola Regency Hospital
Care at Your Doorstep, Grow in Every Step.
๐ 0784 417 500
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Address
Dar Es Salaam
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Ampola Regency Hospital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.