Afya kwanza
Mtaalamu wa Tiba lishe magonjwa sugu k**a Pressure| Kisukari| Moyo | Stroke| miguu kuwaka moto |Ganzi |Tezi dume n.k
0620856971
TEZI DUME NI NINI CHANZO DALILI NA TIBA BILA UPASUAJI (enlarge prostate)
Tezi dume ni moja ya tezi la uzazi la
kiume ambalo kila mwanaume analo,
tezi hili lipo chini ya kibofu cha mkojo
na linazunguka njia ya mkojo toka
kwenye kibofu kwenda kwenye uume.
Jinsi umri unavyoongezeka tezi dume
nalo huongezeka ukubwa ambao
unaweza kuwa wa kawaida au
saratani.
KAZI YA TEZI DUME
Kutoa majimaji anayochanganyika na
mbegu za kiume (sperms) kutengeneza
manii (semen).
VYANZO VINAVYOPELEKEA TEZI DUME KUTANUKA
1- Ukosefu wa lishe kamili na Virutubisho muhimu mwilini.
2- Uwepo wa sumu nyingi mwilini.
3- Kutokufanya mazoezi.
4- Matumizi ya pombe kali, na uvutaji wa sigara.
5- Uzito mkubwa (uliopindukia, uliokithiri), na Kitambi.
6- Kutokukaa sawa kwa vichocheo vya mwili (Hormone Imbalance).
7- Msongo wa mawazo (Stress).
8- Magonjwa ya zinaa.
9- Umri mkubwa.
10- Upasuaji wa korodani, kuzaliwa na korodani moja.
11- Historia ya Familia (Kurithi).
12- Mazingira (Ethnicity).
DALILI ZA TEZI DUME
A-mkojo uliochanganyikana na damu
B-Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu
C-Maumivu kwenye mfumo wa mkojo
D-Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa
E-Kuhisi kibofu kimeja mkojo muda wote na ukienda kukojoa mkojo hautoki, lakini ukirudi kukaa unahisi kukojoa tena.
E-Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku
DALILI ZA MTU ALIYEATHIRIKA KWA MDA MREFU
X-Maumivu ya mifupa hasa chini ya mgongo, kiuno na mbavu
X-Miguu kuwa dhaifu
X-Kushindwa kumudu tendo la ndoa, au Kuhisi maumivu makali wakati unamaliza tendo la ndoa
X- Kushindwa kuzuia mkojo, pindi unapohisi kukojoa
X-Kushindwa kuzuia haja kubwa (kinyesi cha maji maji)
X-Tumbo kuja gesi mara kwa mara
MADHARA YA TEZI DUME KUTANUKA:
1-Kibofu cha mkojo kuuma: hivyo hupelekea mkojo kurudi juu, na kuharibu figo na Ini … … n.k.
2-Kufunga kwa njia ya mkojo kabisa
3-Figo kushindwa kufanya kazi (Kidney Failure)
4-Kushindwa kumudu tendo la ndoa (Ndoa zinavunjika)
5-Ugumba (Infertility, Frigidity for men)
6- Kutokea kwa majipu sehemu ya Tezi Dume
TIBA YAKE
Epuka madhara yasababishwayo na tezi dume kwa kutumia dawa ya baba care yenye uwezo mkubwa sana wa kutibu na kumaliza kabisa tezi dume bila operation... Tumia K**a tiba au kinga, Hii ni ya uhakika kabisa bora kwa afya yako!
KWA TIBA NA USHAURI WASILIANA NASI KWA 0620756971/ 0761759719.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Dodoma
