Maggie’s Cosmetics
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Maggie’s Cosmetics, Beauty, cosmetic & personal care, Mwanza.
10/08/2026
Marine Glow Oil
Vitamin C & E brightening
✨Inasaida kuondoa michirizi (strech mark)
✨Inasaida kuondoa weusi mwilini
✨Inalainisha ngozi na kuifanya iwe na unyevu nyevu siku nzima
✨Inang’arisha ngozi na kusawazisha rangi ya ngozi inakuwa rangi moja mwili mzima
✨inasaida kuondoa mikunjo kwenye ngozi
Tsh 35000/=
MAGGIE’S COSMESTICS💄
MAGGIE’S COSMESTICS💄
Call us 0763991104
10/08/2026
Heavenly Body Oil Gel – Lightening Oil
* Hulainisha na ku-hydrate ngozi na kusaidia ngozi isiwe kavu.
* Inalisha ngozi na kuipa Afya 🥰
* Husaidia ngozi kuwa smooth, soft na yenye healthy glow.
* Inasaidia kuondoa michirizi (strech mark)
* Inasaidia kung’arisha ngozi
* inasaidia kuondoa weusi mwilini
Tsh 35000/=
MAGGIE’S COSMESTICS💄
Call us 0763991104
30/07/2026
Miranda Glow Original Lotion
✨ Husaidia kuifanya ngozi ionekane yenye glow na kung’aa
✨Hutoa unyevu na kusaidia ngozi ibaki laini.
✨Husaidia kuboresha mwonekano wa ngozi iliyochoka au yenye ukavu.
✨Inaweza kutumika kila siku kwa mwili mzima.
TSH 60000/=
Call us 0763991104
MAGGIE’S COSMESTICS💄
29/07/2026
❤️Husaidia kung’arisha ngozi ya kwapa na kuifanya ionekane yenye mwonekano mzuri.
❤️Hupunguza mwonekano wa weusi kwenye kwapa unaosababishwa na kunyoa, msuguano au matumizi ya deodorant.
❤️Hulainisha na kuifanya ngozi ya kwapa iwe nyororo.
❤️Husaidia kuongeza unyevu kwenye ngozi na kuizuia kukauka. ❤️Husaidia kufanya ngozi ya kwapa ionekane yenye rangi iliyo sawa.
❤️Hutoa harufu nzuri na kuifanya ngozi ijisikie safi.
Tsh 30000/=
Call / WhatsApp 0763991104
MAGGIE’S COSMESTICS💄
@
16/07/2026
Final Glow Half-Cast Carrot 100% Carrot Whitening Cream (SPF 50)
✨ Husaidia kung’arisha na kusawazisha rangi ya ngozi.
✨ Hupunguza mabaka meusi na alama za chunusi.
✨ Hulainisha ngozi na kupunguza ukavu.
✨ Ina SPF 50, hivyo husaidia kulinda ngozi dhidi ya jua.
✨ Pia husaidia kuboresha mwonekano wa stretch marks na mikunjo midogo.
Tsh 60000/=
MAGGIE’S COSMESTICS💄
MWANZA MAKOROBOI
16/07/2026
Glow Secret Carrot Active Whitening Body Milk
✨ Ina Carrot Oil, Argan Oil na Vitamin C.
✨ Husaidia kuongeza mng’ao wa ngozi na kuipa unyevunyevu.
✨ Hufifisha mabaka meusi kwenye ngozi
✨ Inafaa kwa watu wenye ngozi kavu au ya kawaida.
✨ SPF 50 husaidia kulinda ngozi dhidi ya miale ya jua.
Tsh 60000/=
16/07/2026
MEDI-PEEL Vitamin Rx Body Lotion. 😊
Kazi zake ni:
✨ Kulainisha na kuongeza unyevunyevu wa ngozi – ina Ceramides zinazosaidia kuimarisha skin barrier.
✨ Kuifanya ngozi ionekane yenye afya na mng’ao – ina mchanganyiko wa vitamini mbalimbali.
✨ Kusaidia ngozi iliyochoka au kavu kuwa laini na fresh.
✨ Kusaidia kusawazisha ngozi na kuifanya ionekane yenye mwangaza wa asili.
✨ Ina harufu nzuri
Tsh 60000/=
MAGGIE’S COSMESTICS💄
Mwanza Makaroboi
16/07/2026
16/07/2026
Extreme Glow Strong Whitening Gold Beauty Milk yenye Halfcast Oil na Glutathione Extract.
✨ Kung’arisha na kusawazisha rangi ya ngozi.
✨ Kufifisha mabaka meusi na alama kwenye ngozi.
✨ Kuipa ngozi mng’ao (glow) na kuifanya ionekane laini.
✨ Kulainisha na kuongeza unyevunyevu wa ngozi
TSH 65000/=
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Mwanza
