JMedia

JMedia

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from JMedia, Health/Beauty, Tanga.

14/03/2026

ushauri wenye tija

26/02/2026

Yapo makosa ambayo wanaume wengi huwa wanayafanya kwa wenza wao pasipo kujua kua nikosa.

Tizama hili aliloambiwa jamaa si jambo la kawaida ni ishara kwamba anashindwa kufanya maamuzi mwenyewe...
ilikujua kisa hiki kifuatilie vizuri YouTube kwa linki hii.. 🌐 MediaPlus. 🎬

Ramla Epsod 1 21/01/2025

New Film 2025.....…

Ramla Epsod 1 Si kila kitu katika Dunia hii tunavijua kwa mazoea, bali vyengine tunaweza kujifunza kutokana na mazingira husika.

21/06/2024
25/10/2023

Lanzoni sec.school yapokea sh. Milioni 2 kutoka kwa mh. Naibu waziri wa maliasili na utalii na mbunge wa Jimbo la mkinga ndg. Dastan Kitandula katika zoezi la harambee ya kuchangia samani za shule. Fedha Hizo zimekabidhiwa tare 21/10/2023 katika mahafali ya 25 katika shule hiyo.ikiwa lanzoni secondar yaendelea kufanya vyema katika ufulu wilayani mkinga.

25/10/2023

Kongole kijana wangu kwa kuhitimu elimu yako ya kidato Cha nne katika shule ya secondar Tanga school. Shule yenye historia nchini Tanzania na Baran Africa kiujumla

29/06/2023

Jmedia popote Kambi.

Photos from JMedia's post 29/06/2023

Vingozi wa JAMII MPYA wilaya ya mkinga Tanga watembelea ofisi ya ccm kisiwa ndui Zanzibar na kudhuru kaburi la hayati Aman abedi karume aliyekua rais wa kwanza wa sr ya painduzi zanzibar.

Photos from JMedia's post 09/06/2023

Nitalitumikia Taifa langu kwa kufuata maelekezo ya wakubwa katika nchi yangu

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Tanga?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Tanga