Tumia chakula kama dawa

Tumia chakula kama dawa

Share

Tumia virutubisho lishe asili visivyo na kemikali

03/02/2024

*Afya ni nguzo ya msingi sana katika Maisha ya kila mtu*

Samahani naitwa *Abduly*
Nipo hapa kwa ajili ya kutoa darasa na kutatua changamoto za kiafya kupitia mtandao. *(BURE)* Lengo ni kufanya huduma za afya zimfikie kila mtu.

Natoa ushauri na kutatua changamoto za kiafya

*Ni muhimu sana kulinda afya yako (AFYA YA AKILI NA MWILI) kwani ndio mtaji wako*

12/10/2023

*TOFAUTI KATI YA*
*Kirutubisho cha Chakula* na *Dawa*

🩸Kuna Habari Nyingi Zisizo Sahihi kuhusu *DAWA* na *VIRUTUBISHO LISHE*
kwa sababu zote zinaonekana sawa kwa ukubwa au umbo. Itakuwa rahisi kudhani kuwa zote mbili zinatumika kwa madhumuni ya kiafya.

✔️Swali moja ni muhimu sana kujibu:

✔️Kuna tofauti gani kati ya dawa na nyongeza ya chakula au jinsi zinavyotazamwa na kushughulikiwa? Angalia ili ujifunze zaidi kuhusu tofauti Kati Ya *DAWA* dhidi ya *VIRUTUBISHO LISHE*

*DAWA* ni vitu vya kemikali ambavyo hutumika kutambua, kuponya, kutibu au kuzuia magonjwa. Ni dawa na muundo wa dawa kuponya magonjwa maalum. Imetengenezwa kimatibabu katika maabara.

¶ Dawa zinaweza kusababisha utegemezi wa mwili *(dependence/addiction)*
➡️Matokeo ya haraka na haiwezi kuponya magonjwa ya mtindo wa maisha k**a shinikizo la damu au sukari.

¶ Dawa huponya magonjwa kwa muda k**a vile kupunguza maumivu, kudhibiti sukari kwenye damu, kuponya maambukizi.

¶ *VIRUTUBISHO hutumiwa kujaza pengo la lishe na kutoa vitamini au madini sahihi kwa mwili wako.*

¶ *VIRUTUBISHO ni sehemu ya chakula chako na hizi ni lishe asilia na yenye afya. Imetengenezwa kwa matunda na mboga/dondoo zinazokuzwa kwa njia ya asili.*

¶ *VIRUTUBISHO havina madhara na si vya kulevya.*

¶ *Inapunguza pengo la ukosefu wa vitamini na madini muhimu.*

¶ *Kuzuia na kusaidia kuponya magonjwa ya mtindo wa maisha na kutoa matokeo ya muda mrefu.*
👉🏿 *Virutubisho lishe* huurudishia mwili uwezo wa kufanya kazi PASIPO kutegemea *Dawa* au kitu kinginecho kutoka nje ya mwili.
🌟Na ndipo tunasema *VIRUTUBISHO LISHE HUONDOA CHANZO CHA TATIZO NA SIO MATOKEO YA TATIZO*
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kwa Ushauri Zaidi Kuhusu VIRUTUBISHO LISHE ili Kuondoa CHANGAMOTO za KIAFYA na Kuimarisha Kinga
Nipigie na Nitakushauri Bure Kabisa Bila Malipo

Kwa CHANGAMOTO k**a vile

✍️Uzazi
✍️Mifupa na Viungo
✍️Vidonda Vya Tumbo
✍️Tezi Dume
✍️Kupunguza Sumu Mwilini
✍️Afya ya Ngozi na Urembo
✍️Afya ya Watoto
✍️Sukari
✍️Presha
✍️Kuumwa Mara Kwa

04/10/2023

instagram.com

02/10/2023

Call / Whatsapp 0785641029

01/10/2023
01/10/2023

*KWA NINI UTUMIE VIRUTUBISHO LISHE!?*

*SWALI*
Nakula vizuri, nakula nafaka kamili, matunda kwa wingi, mboga za majani kwa wingi,mafuta mazuri, sili sukari, nafanya mazoezi na kadhalia; *KWA NINI NILE TENA VIRUTUBISHO? KWA NINI NILE TENA VIDONGE?*

💎*JIBU*:
Swali zuri sana, hata mimi kabla ya kuwa na elimu ya virutubisho lishe nilikua najiuliza hivyo hivyo.
Ukweli ni kwamba k**a unataka kupambana na magonjwa na kufikia urefu wa maisha huwezi kwa kutumia diet peke yake, unahitaji namna ya kuongeza lishe zaidi ambazo zitapatikana tuu kwa wewe kutumia virutubisho lishe.

-Jinsi ambavyo mbolea ilivyo muhimu kwa mmea ndivyo virutubisho lishe vilivyo muhimu kwa binadamu. Upe mmea jua na maji na utaishi, uongezee mbolea yenye virutubisho hai na uta stawi zaidi.

-Binadamu ndivyo hivyo hivyo, lishe yenye afya, yenye usawa inaipa mwili virutubisho vya kutosha kuendesha kazi za kawaida. Vidonge vyenye virutubisho lishe k**a madini,vitamini, asidi muhimu ya mafuta (essential fatty-acid), na kadhalika vinaimarisha mazingira ya ndani ya mwili kwa kuimarisha ulinzi wa seli, kukarabati na kuzaliwa upya na kusaidia mchakato wa utengenezaji upya wa seli.

*SABABU NYINGINE NA UMUHIMU WA KUTUMIA VIRUTUBISHO LISHE*

1.Vyakula vya sasa havina virutubisho vya kutosha.

2.Kutumia virutubisho lishe ni njia ya haraka na rahisi zaidi ya kupata viini lishe ambavyo vinahitajika mwilini.

3.Inakusaidia kuondokana na magonjwa ya uzeeni k**a kisukari,pressure na Tezi dume.

4.Ni njia nzuri ya kupambana na kuondoa sumu mwilini.

*NB:VIRUTUBISHO LISHE (SUPPLEMENTS) NI MUHIMU SANA UKIHITAJI VIRUTUBISHO WASILIANA NASI KWA NAMBA(TUNAKUFIKISHIA POPOTE ULIPO TANZANIA).* CALL 0785641029

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Temeke?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Temeke

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tumia chakula kama dawa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Temeke.