inney_cosmetics
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from inney_cosmetics, Beauty, cosmetic & personal care, Zanzibar City.
10/09/2024
03/09/2024
OUD MOOD NDGO TSH 10,000 JUMLA 8,000 MAHI ZANGU ZNANUKIA KMA KUBWA🥰🔥NNAZO CHACHE🥰🙏
15/04/2024
SUGAR SCRUB TSH 10,000/=
✍🏻hii ni scrub pendwa kesho scrub ni kipengele muhim sana kwenye utunzaji wa ngozi yako kwani
🌺huondoa mfubao kwenye ngozi
🌺inaondoa vile vimkwaruzo sehem za mapajani miguuni
🌺Ina saidia ngozi yako kurespond vizur unapopaka mafuta
🌺zinaondoka michirizi
🌺inaondoa chunusi pamoja na dark sport
🌺ina ng’arisha na kukuacha mwili ukiwa moisture
🌺inaondoa madoa na taka zote mwilini
🌺inaondoa sugu sehem zote pamoja na madhara
🌺Zina sukari na zina yeyuka vizur haiumizi ngozi wala kuwashwa
19/03/2024
HAIR STIMER 💧Hii kofia inatumia umeme baada ya kuonyesha na kuweka steaming nywele inaivaa hii na kuchomeka kwenye umeme. 💧Ni Rahisi kutumia, unaweza kutumia ukiwa sehemu yeyote si lazima iwe saloon 💧Inalainisha nywele vzr na ni portable.
18/03/2024
17/03/2024
Viatu vio dukani
05/03/2024
Necklace available 8000
Call 0656773050
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Zanzibar City
KWAMCHINA
