Madame Ruu
Page hiii inahusiana na masuala yote ya BIASHARA na UJASIRIAMALI
🤣🤣🤣🤣nmejikaza matajir zang apa tuna kilo zaid ya 400 zote ni ndege🤣 utajir wangu wote umeisha akyamungu ila Tamaa🤣🤣
Shida tu nataka kuwaridhisha nyie eet mpendeze kwa bei poa😳😳 ila Mimi😳😳
Haya haya mzgo unafika Dukani soon
Tuna bidhaa nyng mno dukani na mzgo mwengne unashuka karbuni hvi kaaa na Pesa zako🙌
Location ni Moja tu MAKUMBUSHO STAND
Ile sehemu Ubora unakutana na Bei nafuu Ndio hapaaaaa🥰🤗
Office namba 0692557331
0740676175
0755781070
Aweeeee Masha Allah Kumbe nina Mahaba hivi na hii Nchi🤣
Hadi nme😭
Congratulation JIHAN You deserve It And Moooreeeee❤️
Lkn mbna sielewi😂 Tumeshinda au hatujashinda? Kiingereza kigumu ujue🤣🤣
Hebu angalieeni screenshot zote 2. jmn
Guys 15000 tu znafika dukan soon kaaa nna mane zako
Wote sema fesi maskiiii😂😂 znakuja dukani soon mambo ya kihindi😂
Bei yakutupa 20k tu
Inaumiza sana🤣 Ila Hakuna Namna apa nmebaki alijojo mbee
Nmefunga mzgo wa utajir wangu wote imebakia nyie kupendza na Mimi kwa bei poa
Naomba tuandae pesa ntatoa Tarehe ya mnada soon
Hio sku dress hz tunauza 135000 utapata kwa offa yn bidhaa zote ztakua katika Offa🤗
Cha kufanya kaa na pesa zko bidhaa zote nazopost ztakua katika mnada na Offa🤗
Guys be ready🥰
Location ni Moja Tu Makumbusho stand
Hiz nazo sjui munaitaje ndugu zangu me nishajichokea zipo nyingi sana znakuja dukani ndefu na fupi kaa na pesa zako🥰🥰
Nirudishwe Tz wakuu😂 vinakuja dukan just 50 pcs ndefu na fupi yaan zpo ad zakuning’inia ad mgongoni😂🤗
Bei zangu zmekuja ni kuanzia 20k tu hutapata popote hzo bei
Na kuna tika kuna hereni vya kuvaa usoni sjui miwani me nishachoka😂
Kaa na mane nikishuka Tz tu ni Mnada🤗
Zinakuja Dukani with 8 colors 😂 Guys inabd sasa nifukuzwe Uku Uhindini me nishachoka😂
Alf wahindi nao kila sku wanakuonesha nguo mpya looh
Ana Rangi 10 znakuja dukan tar 13 mali ipo dukani bei zmekufa 135000 tu et🤣 au Mm ni mwehu😂
Kaeni na Mane zenu guys
You guys love you much
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Zanzibar
Zanzibar City
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Madame Ruu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.
